
Kwanza kabisa inabidi tufahamu kuwa, mapepo huwa wanayo tabia hiyo ya kulipuka na kumwangusha mtu chini pale mtu anapoombewa au pepo linapomtoka mtu huyo..
Kwanza kabisa inabidi tufahamu kuwa, mapepo huwa wanayo tabia hiyo ya kulipuka na kumwangusha mtu chini pale mtu anapoombewa au pepo linapomtoka mtu huyo..
Maandiko yanamtaja Samweli kuwa, alishindwa kumtambua Mungu pale sauti yake ilipomwita kwa mara ya kwanza katika maisha yake, na sababu ya kushindwa biblia inaeleza kuwa..
Ni maneno yapi hayo ya unabii yaliyotangulia juu ya Timotheo ambayo mtume Paulo anayazungumzia katika waraka wake wa kwanza kwa..
Huduma ya Yohana mbatizaji ilikuwa ni kumwandalia Bwana watu kwaajiri ya ujio wake, ambapo kwa wakati ule watu wa Bwana walikuwa ni taifa ..
Moja ya tabia ya Mungu ambayo tunaisoma kwenye maandiko ni kuwa, kabla ya kufanya jambo lolote ni lazima kwanza awajulishe watumishi wake, tunathibitisha hi..
Ile siku ambayo Bwana Yesu alipotumia chombo cha Simoni Petro kufundishia pale pwani, kuna NENO ambalo alilitamka pale kuwa twekeni hadi ..
Ukisoma maandiko utagundua kuwa, wakati Mungu anaumba dunia, kusudi lake au mlengwa mkubwa aliyekusudiwa na Mungu alikuwa ni mtu, na ndio maana..
Je! Bikira Maria ni mkamilishaji wa mahitaji yetu pale tunapokuwa na shida mbali mbali kwa kutuombea kwa mwanawe Bwana Yesu? Kwasababu tunaona ule wakati wa harusi huko kana, mji wa Galilaya, wale watu walipopungukiwa na divai..
Maneno hayo tunayoyasoma katika maandiko matakatifu yanamaanisha kuwa, katika wana wa Israel, hakuna hata mmoja aliyeingia rahani mwa Mungu, hakuna..