Author : watakatifuwasikuzamwisho

Shalom, karibu tuyatafakari maneno ya Bwana wetu na Mungu wetu Yesu Kristo, yeye ambaye ametuita katika neema yake hii ya wokovu kama alivyosema katika  Yohana 15:16  Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni.  Na ..

Read more

Konzi ni neno la vipimo linalomaanisha ujazo wa mkono. Kitu chochote kinachojaa katika mkono ni konzi.. Utalipata Neno hilo katika vifungu hivi; Mhubiri 4:6[6]Heri konzi moja pamoja na utulivu,Kuliko konzi mbili pamoja na taabu;na kujilisha upepo. Soma pia. Isaya 40:12, Kutoka 9:8, Ezekieli 13:19, Walawi 2:2. Kwamfano katika habari hiyo, Bwana anatushauri ni heri tupokee ..

Read more

Mmekua rafiki zangu mkitenda n..

Read more

Juya ni kitu gani katika biblia?(Math..

Read more

Matayo 12:41 Watu wa Ninawi watasimama siku ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, nao watawahukumu kuwa wamekosa; kwasababu wao walitubu kwa mahubiri ya Yona; na hapa yupo aliye mkuu k..

Read more

Je! Hadi sana kuna manabii..

Read more

JE! MAPAMBO YA VITO ..

Read more

Kwanini mwaniita B..

Read more

Lumbwi ni kiumbe gani kwenye..

Read more

Naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga..

Read more