
Jina la Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo litukuzwe, sifa na Utukufu ni vyake milele na milele, Amina. Ulishawahi kujiuliza Kwanini mtume Paulo kwa uweza wa Roho aliandika “BWANA NDIYE..
Jina la Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo litukuzwe, sifa na Utukufu ni vyake milele na milele, Amina. Ulishawahi kujiuliza Kwanini mtume Paulo kwa uweza wa Roho aliandika “BWANA NDIYE..
Lipo funzo katika habari ya mfalme Ahabu (wa Israeli), na nabii wa Mungu Mikaya mwana wa Imla, ambalo na sisi pia watu wa kizazi hiki tunapaswa kujifunza na kujirekebisha pindi tusikipo wakati huu wa sasa tukiwa hai, kwa sababu maandiko yanasema kuwa, m..
Wakati Bwana Yesu alipowatuma wale mitume wake 12 (thenashara), kwenda kuhubiri habari njema za ufalme wa Mungu, aliwapa maagizo fulani fulani, na miongoni mwa maagizo hayo ni kuwa, mtu asiwe na KANZU MBILI, sasa je! Kanzu ndio vazi takatifu kwa wakristo kulingana na andi..
SWALI: Naomba kufahamishwa maana ya huu mstari? Mithali 19: 4 “Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake” JIBU: Katika mstari huu mwandishi(Sulemani), halengi kwamba tuwe matajiri ili tuongeze marafiki wengi.. Hapana bali alikuwa anaeleza uhalisia ulivyo katika huu ulimwengu wa dhambi. Kwamba mali ndio imekuwa kiunganishi cha watu, tabia ambayo Kristo hana. ..
Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; BALI SASA ANAWAAGIZA WATU WOTE KILA MAHA..
Jina la Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo lipewe sifa milele na milele, Yeye ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho, Mungu Mkuu na Mwokozi Wetu, sifa na Utukufu ni vyake milele na milele, Amina. Sababu ya Kristo kuja duniani na kufa msalabani, ilikuwa ni kuwakusanya wanadamu wote waliopotea katika dhambi kama kondoo na kuwaleta ..
SWALI: Kwanini sanduku la Mungu, mahali ambapo Mungu aliweka jina lake lilitwaliwa na wafilisti h..
Mchungaji wako ni nani? Je! Ni Bwana (Yesu Kristo), ndiye aliye mchungaji wako? Au ni Ibilisi ndiye aliye mchun..
JIBU: Mstari huo unakuhusu wewe, mimi, mama yako, baba yako, mtoto wako, ndugu zako, Rais wako, waziri wako, mafalme wako, malkia wako, mume wako, mke wako, n..
Je! Agizo hilo la Bwana kwa mitume wake la kuwafufua wafu lilikuwa ni kwa baadhi ya mitume tu na si wote? Kwa sababu tunaona katika maandiko matakatifu kuwa, hakuna sehemu yoyote ile iliyorekodiwa mtume Yohana akifufua wafu, wala mtume Yakobo, wala mtume Mathayo mtoza ushuru, w..