Kwanini wengi leo wanashindwa na dhambi ya uasherati? Fahamu mambo manne yanayochochea uzinzi/uasherati ndani ya mtu. Kwanza ni vizuri kufahamu kuwa shetani hana amri au mamlaka ya kumlazimisha mtu afanye uasherati na dhambi zingine kwa ulazima, kama ingekuwa hivyo, basi shetani angehukumiwa mwenyewe katika ziwa la moto,…lakini shetani anachokifanya ni kumshawishi tu mtu aingie mkataba ..
Author : Yonas Kisambu
VAA MAVAZI YA KUJISTIRIย Neno la Mungu linasema.. 1Timotheo 2:9 “Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa MAVAZI YA KUJISTIRI, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; [10]bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu”. Ili tujue mavazi ..
SIKU ILE NI SIKU YA FUJO Ezekieli 7:5 “Bwana MUNGU asema hivi; Ni jambo baya, jambo baya la namna ya peke yake; angalia, linakuja. [6]Mwisho umekuja, mwisho huu umekuja; unaamka ukupate; angalia, unakuja. [7]Ajali yako imekujia, wewe ukaaye katika nchi hii; majira yamewadia, siku ile inakaribia; SIKU YA FUJO, wala si ya shangwe milimani. [12]Majira ..
REMEMBER ๐๐ข๐งโ๐ฆ ๐ช๐๐๐: Luke 17:28-32 KJV “Likewise also as it was in the days of Lot; they did eat, they drank, they bought, they sold, they planted, they builded; [29] but the same day that Lot went out of Sodom it rained fire and brimstone from heaven, and destroyed them all. [30] Even thus shall ..
IN ETERNITY THERE IS NO DECISION MAKING. Praise the name of our Lord Jesus Christ. I wish you could understand, that in eternity there is no decision making, in eternity there is no option, you cannot say that I choose to do this and this, I give my life to Jesus Christ now or I ..
THE SIN OF LYINGย ๐๐๐ฅ๐จ๐ฏ๐๐, ๐๐๐ฒ๐ฟ๐ ๐๐ถ๐ฒ ๐๐ ๐ฎ ๐ง๐ถ๐ฐ๐ธ๐ฒ๐ ๐๐ผ ๐๐ฒ๐น๐น. Lying is alarmingly common; even among professing believers… yet Scripture is clear: ๐ฅ๐ฒ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ฌ ๐ญ๐ก๐ ๐ง๐๐ญ๐ฎ๐ซ๐ ๐จ๐ ๐๐๐ญ๐๐ง, not the life of Christ. Jesus said.. โI am the way, ๐ญ๐ก๐ ๐ญ๐ซ๐ฎ๐ญ๐ก, and the lifeโ (John 14:6). While the devil โ๐๐๐จ๐๐ ๐ง๐จ๐ญ ๐ข๐ง ๐ญ๐ก๐ ..
Na vitu ulivyojiwekea tayari vitakuwa vya nani? Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze maneno ya uzima. Kabla hutujaendelea mbele hebu tafakari haya.. >Je! tumaini lako lipo wapi? >Je! uzima wako upo wapi? >Je! Hazina yako ipo wapi? >Je umejitajirisha kwa nani? Bila shaka majibu unayo mwenyewe.. Lakini hekima ya Mungu inatushaurije.. Luka 12:16-21 ..
NAJA KAMA MWIVI KESHENI Maandiko yanatufundisha kuwa Bwana YESU atakuja kama โMwiviโ.. Ufunuo 16:15 โ(Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake)โ 1Wathesalonike 5:1-3 Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie. [2]Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja ..
BASI NINGOJENI ASEMA BWANA. Sefania 3:8 โBasi ningojeni, asema Bwana, hata siku ile nitakapoondoka kuteka mateka; maana nimeazimia kuwakusanya mataifa, ili nizikutanishe falme, nipate kuwamwagia ghadhabu yangu; naam, ukali wote wa hasira yangu; kwa maana dunia yote itateketezwa kwa moto wa wivu wanguโ. Majira yaliyopo mbele yetu, si rafiki kabisa ndugu yangu, Bwana ameshaihidi kuharibu ..
MUNGU SI MWEPESI WA HASIRA LAKINI NI MWINGI WA HASIRA Watu wengi wanamchukulia Mungu kama ni Mungu mwenye rehema, si mwepesi wa hasira, jambo ambalo ni kweli kabisa lakini wanasahau pia kuwa huyu huyu Mungu ni mwingi wa hasira pia, japokuwa si mwepesi wa kukasirika. Tunasoma kitabu cha Nahumu, biblia inasema.. Nahumu 1:2 “BWANA ni ..