Category : Biblia kwa kina

BABELI MKUU MAMA WA MAKAHABA Jina la Bwana YESU Mfalme wa Wafalme na Mkuu wa Uzima libarikiwe daima. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ni taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu. Siku ya leo tutajifunza kwa ufupi kuhusu siri ya uasi iliyojificha ndani ya kanisa, na tunapozungumzia siri ya uasi tunalenga ile ..

Read more

MADHARA YA ULEVI (Sehemu ya pili) Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu katika mwendelezo wa somo letu sehemu ya pili. Leo kwa neema za Mungu tutajifunza madhara ya ulevi ndani ya kanisa. Tunaposema ulevi ndani ya kanisa..hatulengi ule ulevi wa nje/mwilini kama tulivyoona katika sehemu ya kwanza bali tunalenga ulevi wa rohoni. ..

Read more

MADHARA YA ULEVI (Sehemu ya kwanza) Shalom: Jina Tukufu la Bwana Yesu libarikiwe milele. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je! Unafahamu madhara  ya ulevi kibiblia? Mbali na zile zinazojulikana na wataalamu wa afya, leo tutaangalia madhara ya ulevi hasa katika biblia ni zipi…karibu ufuatane nami katika somo hili naamini utajifunza kitu na kama wewe ni ..

Read more

Namna ya kuvishinda vita vya kifikra. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Vita vikubwa vya Shetani juu ya watoto wa Mungu si uchawi,uganga,nk lakini vita vikubwa Shetani anavyopigana na watoto wa Mungu na kuwadhoofisha kwa namna isiyokuwa ya kawaida na kuona hawafai tena mbele za Mungu basi ni ..

Read more

MAANA NYINGINE YA CHACHU. Je! Unafahamu chachu ni nini?. Chachu kwa lugha ya sasa ni HAMIRA, na kwa kawaida ukiitazama hamira unaweza ukadhani ni unga Fulani hivi, lakini kiuhalisia ule si unga bali ni mkusanyiko wa wadudu wenye uhai kwa lugha ya kitaalamu wanaitwa YEAST, hawa wanadudu ndio wanaofanya kazi ya kumengenya ule unga, na ..

Read more

Tunza Moto wa Madhabahu usizimike. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Agano la Kale ni kivuli harisi cha Agano jipya, na kama tukitaka kulifahamu vizuri agano jipya ni lazima tulielewe vizuri agano la Kale itakuwa ni rahisi zaidi kupata ufahamu wa biblia nzima(kuhusu wokovu Mungu ..

Read more

UMCHUKUE MWANAO, MWANA WAKO WA PEKEE, UMPENDAYE. Shalom jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Siku ya leo tutajifunza umuhimu wa kumtolea Mungu wetu vile vinavyotugharimu. Wengi wetu tunafahamu ile habari ya Ibrahimu baba yetu wa Imani..kumtoa Isaka mwanaye pekee kuwa sadaka ya kuteketezwa, Mungu alimwambia Ibrahimu.. Mwanzo 22:2 “Akasema, ..

Read more

Upo karibu na Yesu? Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima! Sio Wakristo wote wako karibu na Yesu Kristo au wanaushirika wa karibu naye. Kil Mkristo alieokoka ana Yesu ndani yake(Roho Mtakatifu) lakini si kila Mkristo ana ushirika wa karibu sana na Yesu Kristo. Kuwa karibu na Yesu Kristo sio ..

Read more

  JE! UMEUONA USO WA MUNGU? Jina la Bwana Yesu mwokozi wa ulimwengu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu lililo taa ya miguu yetu, Na mwanga wa njia zetu (Zaburi 119:105). Leo kwa neema za Mungu tutajifunza maana halisi ya kuuona uso wa Mungu na umuhimu wake. Je! tunaweza tukauona uso wa Mungu? Mbona ..

Read more