Category : Maswali ya Biblia

Je neno “Mego” linamaana gani katika biblia?

“Mego”, limetokana na neno, kumega. Kitu chochote kilichomegwa, au kunyofolewa mahali Fulani, ndicho kinachoitwa “Mego”. Ni kipande kidogo katika kitu kizima. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi; Mithali 17:1 “Afadhali mego kavu pamoja na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi”. Maana yake ni kuwa, ni heri kuishi katika nyumba, ambayo kinachopatikana ni ..

Read more

Tofauti na mahali/eneo linaloitwa Arabuni, ambalo limetajwa sehemu kadha wa kadha katika biblia, kwamfano ukisoma vifungu hivi utaliona..

Tofauti na mahali/eneo linaloitwa Arabuni, ambalo limetajwa sehemu kadha wa kadha katika biblia, kwamfano ukisoma vifungu hivi utaliona.. Yeremia 25:24 “na wafalme wote wa Arabuni, na wafalme wote wa watu waliochanganyika wakaao jangwani”; Ezekieli 27:20 “Dedani alikuwa mchuuzi wako, kwa nguo za thamani za kutandikia farasi. 21 Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa ..

Read more