JIBU…. Matowashi ni watu waliojitoa wakfu kwa ajili ya Mungu (ufalme wa mbinguni) , ambao hawajihusishi na mambo ya wanawake yaani kuwa na mke au familia…Mfano wa matowashi katika bibliaMtume Paulo, Yohana mbatizaji, Barnaba, Eliya Mtishbi na Bwana wetu YESU KRISTO Lakini kuna jambo ambalo Bwana Yesu alilisema katika kitabu cha Mathayo, ambalo lilikanusha kuhusu ..
Category : Uncategorized
JIBU: Tusome.. Yohana 19: 28 “Baada ya hayo Yesu, hali akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizika ili andiko litimizwe, akasema, Naona kiu. 29 Kulikuwako huko chombo kimejaa siki; basi wakatia sifongo iliyojaa siki juu ya ufito wa hisopo, wakampelekea kinywani. 30 Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, Imekwisha. Akainama kichwa, akaisalimu roho yake” Sifongo ..
Mwanazuoni ni mtu aliyejikita Katika utafiti au usomi wa ndani zaidi Katika tasnia fulani , lengo ni kupata ufumbuzi wa yale magumu yenye utata au yaliyojificha… Hivyo Katika biblia Mwanazuoni ni mtu anayeingia ndani kujifunza Biblia, ili kuieleza katika urahisi zaidi au katika ufasaha zaidi kwa jamii au kutoa majibu ya mambo magumu yaliyo ndani ..
Jina la mwokozi wetu Yesu kristo lihimidiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je madhabuhi ni nini? Madhabahuni ni eneo la kanisa ambalo watu wote uenda na kumtolea Mungu sadaka , kuomba, kushiriki meza ya Bwana, na kupeleka shukrani za sifa kwa Mungu (ni mahali pa kukutana na Mungu). Kwa maana hiyo madhabahuni si pale ..
Karismatiki. Ni neno la Kigiriki “Charisma ” lenye maana ya Favour(Upendeleo) au Gift (zawadi). Charis(Grace) yaani Neema. Hivyo tunaweza kusema kwa Lugha nyepesi ni zawadi au uwezo anaopewa mtu binafsi na Roho Mtakatifu kwa manufaa ya Kanisa au ukuaji wake wa kiroho. Ni jambo ambalo lilianza Mwanzoni kabisa Mwa karne ya ishirini (20) mnamo Mwaka ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Mwokozi wetu. SWALI: KUVUKIZA UVUMBA NDIO KUFANYAJE? UVUMBA kwa Jina jingine ni UBANI. Ni mchanganyiko wa viungo mbali mbali ambao huchangwanywa pamoja na baada ya kukamilika huchomwa na kutoa harufu nzuri. Hivyo Uvumba ni Manukato yenye harufu nzuri sana pale unapochomwa katika Moto. Chanzo kikubwa cha uvumba kinapatikana ..
Agano la kale Mungu alikuwa aI’mkitumia njia kuu tatu, alitumia kuwasilisha ujumbe, au kuleta majibu au kuthibitisha jambo… Njia ya kwanza ni manabii, njia ya pili ni ndoto, na njia ya tatu ni Urimu na thumimu. Tunalithibitisha hilo katika kitabu cha 1Samweli 28:4 pale ambapo Mfalme Sauli alipokwenda kuuliza kwa Bwana kuhusu vita iliyokuwa inamkabili ..
Jina la Bwana wetu Yesu kristo litukuzwe. Karibu tujifunze neno la Mungu wetu, ambalo ndilo chakula cha roho zetu. Je! Noeli ni nini? Noeli ni neno la kilatini linalomaanisha (siku ya kuzaliwa) kuzaliwa kwa Bwana na mwokozi wa ulimwengu, Yesu kristo. Kwa kifaransa linaweza kumaanisha “habari njema” au “msimu wa krisimasi” kwa ujumla. Hivyo ni ..
Hosana, neno la Kiyahudi linalomaanisha “OKOA,” lilionekana likitajwa mara ya kwanza siku Ile alipokuwa anaingia Yerusalemu. Yohana 12: 12 “Nayo siku ya pili yake watu wengi walioijia sikukuu walisikia ya kwamba Yesu anakuja Yerusalemu;13 wakatwaa matawi ya mitende, wakatoka nje kwenda kumlaki, wakapiga makelele, HOSANA! Ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli!”Habari ..
Isaya 45:3 “nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli”. Hazina za giza ni baraka zilizoshikiliwa na adui shetani, ambazo zinapaswa kuwa zetu.Mfano wa hazina za gizani ni zile wana wa Israeli walizozipata kutoka katika jeshi ..