Category : Uncategorized

Shalom!, Ukisoma katika Mathayo 24:14-30 utakutana na neno hili. Sasa lilikuwa likimaanisha nini? Neno Talanta kwa Kigiriki ni “Talanton” pia kwa kilatini ni “Talentum”  Sasa zamani hususani katika nyakati za agano la Kale Talanta kilikuwa ni kipimo cha uzito. Hasa kilikuwa kikitumika katika kupima uzito wa Madini kama Dhahabu na Shaba. Na Talanta moja ina ..

Read more

Jina Lusifa halipatikani katika Biblia ya toleo la Swahili Union version (SUV) au matoleo mengine ya Kiswahili. Ni neno la Kilatini linalomaanisha “Nyota ya Alfajiri” na limetajwa katika:  Isaya 14:12 [12]Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi!  Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa! Watakatifu wa zamani walitafsiri Biblia kutoka lugha ya ..

Read more

Bwana Yesu  kuna jambo alilikusudia hapa  lifahamike na  ndio maana  akatoa mfano huo katika  kitabu cha Mathayo 5:15, lakini kabla ya kuendelea mbele embu tutazame kwanza nini maana ya maneno hayo, Kiango na Pishi KIANGO Kiango ni kifaa maalumu kinachotumika kushikilia  au kuning’inzia taa  kwa jina lingine kinaitwa kinara, na kifaa hiki huwa lazima kikae ..

Read more