Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Maneno haya aliyazungumza Bwana Yesu kwa wanafunzi wako kuwaonya juu ya mambo yatakayotokea katika nyakati walizokuwepo baada ya yeye kuondoka lakini maneno hayo yanadhihirika kwa kasi ya ajabu hata kwetu sisi katika nyakati hizi za Mwisho hebu tusome. Luka 17:22 “Akawaambia wanafunzi, Siku zitakuja mtakapotamani kuona ..
Archives : May-2024
JIBU: Tusome mstari wenyewe. Mhubiri 1:15 “Yaliyopotoka hayawezi kunyoshwa, Wala yasiyokuwapo hayahesabiki”. Ukisoma hapo kwa makini utaona kuna Vipengele viwili,yalipotoka hayawezi kunyooshwa na yasiyokuwapo hayahesabiki… Tukianza na kipengele cha kwanza, yalipotoka hayawezi kunyooshwa,tufahamu kitabu cha mhubiri kinaeleza juhudi za mwanadamu kutafuta suluhu ya mambo yote yaliyopo duniani kwa nguvu zake mwenyewe bila kumtegemea Mungu wala ..
Nakusalimu kupitia Jina lipitalo majina yote JINA LA YESU , Karibu katika kujifunza neno la Mungu litupalo uzima wa milele katika maisha yetu. kuligana na swali hapo, biblia iliposema bila kazi ya mikono, Maana yake ni kuwa kitu chochote kilichotenhenezwa pasipo kitengemezi chochote, kiuhalisi katika maisha yetu, mfano kama mtu anahitaji kitu chochote kwa ajili ..
Mhubiri 7:29 “Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamebuni mavumbuzi mengi”. Uumbaji wa Mungu,alipomuumba Mwanadamu,alimuumba Katika ukamilifu wote, wazazi wetu wa kwanza hawakuwa na kasoro yoyote ya Mwilini hata rohoni, ukamilifu wa kuwa na Amani,furaha, Upendo na kulicha jina la Bwana.. Lakini tunaona ilifika mahali wakaona hayo walioumbiwa na Mungu hayawatoshi wakatamani ..
Katika maandiko bublia inafunua kuwa Bwana Yesu alianza huduma yake akiwa na umri wa miaka 30. Sasa ili tuweze kujua alikufa akiwa na umri gani, tunahitaji kujua kwanza utumishi wake ulikuwa wa miaka mingapi. Kulingana na kitabu cha Yohana, Yesu alihudhuria sikukuu tatu za Pasaka, ambazo zilikuwa za mwaka baada ya mwaka. Tukizijumlisha, tunapata jumla ..
Shalom!, mwana wa Mungu nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tujifunze na kuyatafakari maneno ya uzima. Swali hili limekuwa likiulizwa mara nyingi sana na wakati mwingine ni kama vile linakosa majibu.Ni swali ambalo lina watu wanaokubali ndio Adamu na Hawa walikuwa na uzima wa milele. Lakini kuna kundi lingine linalokataa kuwa Adamu ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kama tunavyosoma katika maandiko Neno “MBWA” linamaanisha “Mwanaume anaejiuza au anaeuza mwili wake” mwanaume anaeuza mwili wake aidha kwa wanawake au kwa wanaume wenzake yaani SHOGA. ukisoma kwenye Biblia ya kiingereza “Amplified Bible ” imeeleza vyema hebu tusome. Deuteronomy 23:18[18]You shall not bring the hire of ..
Mikono iliyotaka ni mikono isiyokuwa na hila au dosari yeyote, yaani mikono ambayo ni safi iliyotakata 1Timotheo 2:8 “Basi, nataka wanaume wasalishe kila mahali, huku wakiinua mikono iliyotakata pasipo hasira wala majadiliano” Mikono yenye hila au dosari nyenyewe inakiwaje, tusome Isaya 1:15 “Nanyi mkunjuapo mikono yenu, nitaficha macho yangu nisiwaone; naam, mwombapo maombi mengi, sitasikia; ..
Ili tuweze kuelewa mstari huu tutazame mfano huu ambao ni uhalisia wa maisha ulivyo ambao sasa utatusaidia kuelewa maana ya (Mithali 11:26) Kuna kipindi baadhi ya mikoa ya Afrika mashariki (Tanzania ) kulitokea shida ya maji, ilifanya watu kutoka umbali mrefu kwenda kutafuta maji ili waweza kufanikisha shughuli zote zinazohitaji maji, lakini sasa katika kipindi ..
Ulafi ni tabia ambayo mtu anakula chakula bila kiasi, kula kwa kupitiliza, na tabia inapozidi hufanya hata kushidwa kufanya maendeo ya kimaisha au kiroho kwa sababu hufanya kila kitu kitakacho onekana mbele ya macho lazima tu atakila sasa hali kama hii ndiyo inajulikana kama ulafi. Na tabia hii haitokani na Mungu ndiyo maana maandiko yanasema ..