Author : Paul Elias

Shalom Bwana Bwana Yesu apewe sifa. Beelzebuli katika Agano la Kale alikuwa ni mungu wa Wafilisti(Philistine) kwa sasa inajulikana kama Palestina. Pale Mfalme Ahazia alipoanguka kutoka juu kule Samaria akaugua sana hivyo akatuma wajumbe waende wakamuulize kwa Beelzebuli mungu wa Ekroni kwamba je atapona ugonjwa huo. 2 Wafalme 1:[2]Na Ahazia akaanguka katika dirisha la chumba ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Maneno haya mawili yanatumika sana kwa Watakatifu wengi, na huenda huwa unayasikia mara kwa mara lakini huenda hujui nini maana yake. Maana hata mimi nilikuwa nikiyasikia kwa muda mrefu lakini sikuwa najua maana yake hapo kabla. Sasa leo tutakwenda kujifunza maana ya maneno haya mawili. Shalom Ni neno ..

Read more

Karismatiki. Ni neno la Kigiriki “Charisma ” lenye maana ya Favour(Upendeleo) au Gift (zawadi). Charis(Grace) yaani Neema. Hivyo tunaweza kusema kwa Lugha nyepesi ni zawadi au uwezo anaopewa mtu binafsi na Roho Mtakatifu kwa manufaa ya Kanisa au ukuaji wake wa kiroho. Ni jambo ambalo lilianza Mwanzoni kabisa Mwa karne ya ishirini (20) mnamo Mwaka ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Mwokozi wetu. SWALI: KUVUKIZA UVUMBA NDIO KUFANYAJE? UVUMBA kwa Jina jingine ni UBANI. Ni mchanganyiko wa viungo mbali mbali ambao huchangwanywa pamoja na baada ya kukamilika huchomwa na kutoa harufu nzuri. Hivyo Uvumba ni Manukato yenye harufu nzuri sana pale unapochomwa katika Moto. Chanzo kikubwa cha uvumba kinapatikana ..

Read more