Je Biblia ina maananisha nini kusema maneno haya kwa habari ya mitume? Matendo 5:13 “hapana hata mmoja aliyethubutu kuambatana nao; ila watu waliwaadhimisha; ”JIBU: Tusome mstari huo; Matendo ya Mitume 5:12-16 [12]Na kwa mikono ya mitume zikafanyika ishara na maajabu mengi katika watu; nao wote walikuwako kwa nia moja katika ukumbi wa Sulemani; [13]na katika ..
Author : Rehema Jonathan
Bwana Yesu asifiwe Karibu tena katika kujifunza neno la Mungu litupalo uzima wa milele Hapo maandiko yaliposema Warumi 3:22 “ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio. Maana hakuna tofauti; 23 kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;” Hapa tuzingatie mambo haya hili tuelewe ..
Marko 12:26 “Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, SURA YA KIJITI, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?” jibu: Sura ya kijiti iliyozungumziwa hapo si sura ya mti yaani umbile la mti, au sura ambayo ina pia mdomo ..
Maana ya neno Azali ni “MILELE” yaani kitu kisichokuwa na mwanzo wala mwisho. Hivyo Yesu kuitwa Mwana wa Azali inamaanisha Yesu ni Mwana wa Mungu asiye kuwa na mwanzo wala mwisho. SWALI: Ni kweli Yesu ni Mwana wa Azali? Ndiyo ni kweli, Yesu ni Mwana wa Azali Kwa sababu yeye ni mwana wa Mungu maandiko ..
Choyo ni kitendo cha mtu kuwa na tamaa kubwa, mfano tamaa ya mali, uongozi, au chakula, na hii mara nyingi huambatana na ubinafsi, yaani umimi na kutumia vitu Kwa pupa ilimradi tu kumyima au kuwanyima watu wengine wasipate. Mithali 21:26 “Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye haki hutoa wala hanyimi”. Tabia hii si ..
mithali 27:6 Jeraha utiwazo na rafiki ni amini; Bali kubusu kwa adui ni kwingi sana. ” Ukisoma kwa makini kifungu hicho, rafiki aliye kuwa anazungumziwa hapo si rafiki mnafiki Bali rafiki wa kweli mwenye upendo wa dhati Kwa mwenzake, Sasa hapo aliposema jeraha atiwazo na rafiki ni amini, ni kwamba ikiwa huyo rafiki yako atakwambia ..
Mithali 19:11 Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa Kabla ya kuendelea mbele tutazame kwanza Nini maana ya busara Busara ni kitendo cha mtu kuwa na uwezo wa kaughahiri hasira yake wakati anapoudhiwa mtu na huwa mwepesi wa kusamehe makosa. ukisoma Kutoka 34:6 Bwana akapita mbele yake, akatangaza, Bwana, Bwana, ..
Haki kibiblia ni tofauti na haki kama inavyojulikana na watu wengi, maana haki kisheria inatafsirika kama kile mtu anachostahili kuwa nacho au kile anachoruhusiwa kufanya, au kile anachostahili kupokea kutoka kwa wengine kwa mujibu wa sheria’. Na maana nyingine haki inafahamika kama watu kutenda matendo mema ni kupata haki . Lakini kibiblia haki ni tofauti ..
Mithali 10:22 “Baraka ya Bwana hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo” Tuelewa kwanza hapo aliposema baraka ya Bwana hutajirisha, aliposema hapo hakumaanisha kuwa kipimo cha kubarikiwa na Bwana, baada ya hapo ni kuwa tajiri tu, hapana maana ukiangalia wapo watu wasio mcha Mungu ambao ni matajiri, na wengine maskini lakini na hao pia ni matajiri Kwa ..
Kulingana na vifungu hivi biblia imetaja neno hili Mithali 20:13 “Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Bali mwenye roho ya uaminifu husitiri mambo. Mithali 20:19 “Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Basi, usishirikiane naye afunuaye midomo yake sana”. Neno hili kitango linamaanisha Mtu “MMBEA”, mtu ambaye yuko tayari kusema kila kitu anachosikia au kuona kutoka kwa wengine. ..