Author : watakatifuwasikuzamwisho

Umepata faida gani tangu uliopoanza kuwa mnywaji wa pombe na mlevi? Kuna chochote kile cha maana ulichokipata zaidi ya kujishushia heshima katika jamii kwa sifa mbaya ya ulevi? Kuna choc..

Read more

Ulishawahi jiuliza kwanini Mungu aliamua kutetemesha misingi ya gereza wakati Sila na Paulo walipokuwa wakimwomba na kumwimbia usiku wa manane? Au unadhani Mungu alishindwa kuwatoa gerezani Sila na Paulo katika kifungo ch..

Read more

SWALI: Kwanini tukisoma maandiko tunaona watu wa kanisa la kwanza walikuwa wakijazwa Roho Mtakatifu zaidi ya ..

Read more

Maneno hayo aliyaandika mtume Paulo kwa makanisa yaliyokuwapo Korintho, ambayo kutokana na utajiri wa neema ya Mungu waliyoipata kwa kuamini, na kujaaliwa karama za rohoni, na nguvu..

Read more

JE! YESHURUNI NI NANI?

Yeshuruni ni jina lingine la taifa la Israeli, lililotumika zamani hususani katika Mashairi yao. Kumbukumbu 32:12 “Bwana peke yake alimwongoza, Wala hapakuwa na mungu mgeni pamoja naye. 13 Alimpandisha mahali pa nchi palipoinuka, Naye akala mazao ya mashamba; Akamnyonyesha asali iliyotoka jabalini, Na mafuta yaliyotoka katika mwamba wa gumegume; 14 Siagi ya ng’ombe, na maziwa ..

Read more

Balaam mwana wa Boeri alikuwa ni nabii  huko midiani, ambaye Mungu alikuwa akisema nae kabisa, na tena alimtabiri hadi Bwana Yesu na ujio wake na jinsi atakavyowahukumu wana wote wa uasi [Hesabu 14:17] Lakini kibaya..

Read more

JIBU: Silaha ya nia aliyokuwa nayo Kristo ambayo na sisi tunapaswa kujivika, ni  NIA NA KUSUDI la kukubari kutesaka na kufa, kuliko kushindwa kutimiza kusudi la Mungu la yeye kufa msalabani ili watu wa mataifa yote wapate wokovu, hiyo ndio nia iliyokuwa ndani Bwana wetu na Mwokozi ..

Read more

Mbegu iharibikayo ni ile ya mwili wa damu na nyama, ambayo wanadamu wote tunazaliwa katika hiyo kutoka kwa Adamu wa kwanza. Kila mtu aliyezaliwa kwa mapenzi ya mwili na damu, huyo ni mbegu iharibikayo kwa sababu, kupitia kwa Adamu wa kwanza ndipo uharibifu ulipoingia, yaani ardhi kulaaniwa, na mbaya z..

Read more

JIBU: Mjumbe wa agano la kwanza, au agano la zamani, yaani maagizo ya Mungu (torati) alikuwa ni n..

Read more

Matayo 24:26  Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, ms..

Read more