Author : watakatifuwasikuzamwisho

Jina la Bwana na mwokozi wetu, Yesu kristo litukuzwe. Karibu tujifunze maneno ya Mungu wetu, ambayo ndio taa ya miguu yetu  na mwanga wa njia zetu.  Je! Pasaka ni nini?  Kabla ya kuangalia pasaka ni nini, tuangalie asili ya ili neno Pasaka.  Asili ya neno Pasaka, tunaliona pale Mungu alipokuwaa akiongea na Musa pamoja  na ..

Read more

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu na Mwokozi wetu Yesu Kristo! JIBU: IJUMAA KUU. Hii ni siku maalumu inayokumbukwa na wakristo wengi duniani. Ni siku ya ijumaa kabla ya jumapili ya pasaka ambapo wakristo wengi duniani wanaiadhimisha kifo cha Mwokozi wetu Yesu Kristo. Siku hii huadhimishwa kila mwaka na Wakristo wengi Duniani.  Kwanini iitwe ijumaaa ..

Read more

Nakukaribisha tujifunze Maneno ya Uzima ya Bwana Yesu… Upole ni ile hali ya kutokuonyesha uharibifu kwa mtu au kwa viumbe, na upole umeenda mbele Zaidi pale ambapo unakuwa na uwezo wa kuonyesha madhara fulani kwa mtu lakini hutumii nafasi hiyo kumdhuru.. Mfano mzuri tumtofautishe nyoka na Ngamia.. Nyoka ni kiumbe chenye udhaifu kisichokuwa na uwezo ..

Read more

Je! Biblia ni nini? Biblia ni neno lililotoholewa katika lugha ya kigiriki lenye maana ya “mkusanyiko wa vitabu vitakatifu”. Na pale kinapokuwa kimoja huitwa ‘Biblioni’ Na katika biblia hii ambayo ni vitabu vitakatifu ina jumla ya  mkusanyiko wa vitabu 66 na ndani ya vitabu hivi vimegawanyika makundi mawili ambayo ni Agano la kale na Agano ..

Read more

Kuzumbua maana yake ni kuwa na uwezo kupata kitu Fulani, hususani kile Cha lazima. Kwamfano Unaweza kusema; Namshkuru Mungu nimezumbua kile kitambulisho changu kilichopotea siku nyingi. Maana yake nimekipata kitambulisho changu. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi kwenye biblia Mambo ya Walawi 6:1-7 [1]BWANA akanena na Musa, na kumwambia, [2]Mtu awaye yote akifanya dhambi, na ..

Read more

Katika vitu ambavyo watu wengi wameshindwa kuelewa ni hapa, kujua wakati na majira sahihi katika maisha yao juu ya Mungu, na hapa ndipo shetani amewekeza nguvu kubwa sana ili awana..

Read more

Kama Wewe ni Mwanafunzi na mfuasi wa Yesu Kristo (uliyetubu dhambi zako na kuamua kumfuata na kumuamini Yesu Kristo sawasawa na maandiko kama Yeye mwenyewe alivyosema), basi, huna budi kujifunza na kuwa na tab..

Read more

Ipo laana ya Roho Mtakatifu inayoendelea miongoni mwa wahubiri wa injili pasipo hata wao wenyewe kutambua, na laana hii ya Roho Mtakatifu inaanza tu pale ambapo muhubiri anapohubiri injili nyingine yo yote iliyo kinyume na ile iliyohubiriwa na mitume n..

Read more

Umeshawahi kujiuliza ni kwanini kanisa la sasa la Kristo halina Utukufu kama ule uliokuwapo katika kanisa la mwanzo? Hakuna tena imani kama ile iliyokuwapo mwanzo (bali ni unafiki na kuigiza), hakuna tena nguvu ya Mungu katika kanisa kama iliyokuwapo mwanzo, hakuna tena ushukiwaji wa Roho Mtakatifu kwa watu katika kanisa k..

Read more

Ipo tabia nyingine ya Mungu tunayopaswa kuifahamu ambayo ni fundisho tosha kwetu sisi pindi tunaposoma wito wa Ezekieli kuhani, au nabii Ezekieli katika maandiko m..

Read more