Author : watakatifuwasikuzamwisho

SWALI: Je! Ni kweli andiko la (Wafilipi 4:3), linatoa ruhusa kwa wanawake kuchunga na kusimamia makanisa ya Mungu Kwa sababu ya wanawake Euodia na Sintike walio..

Read more

Je! Utatoa hesabu ya nini katika siku ile? Utatoa hesabu ya nini katika siku ile utakayosimama mbele ya Muumba Wako? Utatoa hesabu ya nini katika ile siku ya hukumu? Kwa sababu, sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu, kama maandiko matakatifu y..

Read more

SWALI: Nini maana ya mstari huu “NA MTU MMOJA AJENGAPO UKUTA, TAZAMA, WAUPAKA CHOKAA ISIYOKOROGWA VEMA” (Ezeki..

Read more

SWALI: Tukisoma biblia katika (Mathayo 7:21), Bwana alisema kuwa, si kila mtu atakayemwbia “Bwana, Bwana” ndiye atakayeingia katika ufalme wa..

Read more

Mfalme Yosia katika wakati wa kutawala kwake, aliagiza ukarabati wa nyumba ya Bwana, kwa kuwatuma Shafani mwana wa Azalia, Maaseya Akida wa mji, na Yoa mwana wa Yoahazi, kwenda kwa Hilkia kuhani kwa lengo la kuihesabu fedha inayoletwa nyumbani mwa Bwana ili wapate kukarabati nyumba ..

Read more

Kuna madhara makubwa mno pale ambapo mtu anapolisikia neno la kweli la Mungu, na kisha kulipuuzia kwa makusudi kabisa kwa kutokuwaza moyoni mwake na kuona ni namna gani afanye ili aweza kulitii neno hil..

Read more

SWALI: Naomba majibu ya swali hili, Je! Ni kweli Ibrahimu na sara walikuwa ni ndugu wa baba mmoja kulingana na (Mwanzo 20:12)? Na kama ni ndio, kwanini Mungu aliruhusu Ibrahimu kumchukua ndugu yake..

Read more

SWALI: Naomba kuuliza, hivi mtume Paulo alikuwa na maana gani au alilenga nini hasa kwa kusema “kwa habari ya haki ipatikanayo kwa sheria sikuwa na hatia? Je! Alisema hivyo kwa lengo la kujionesha na ..

Read more

Hii ni tabia ya Yehoyakimu aliyekuwa mfalme wa Yuda ambayo inaendelea sasa katika nyakati hizi za mwisho, tabia ambayo wewe ndugu mpendwa unayesoma ujumbe huu hup..

Read more

ANACHANGANYA KWA PAMOJA UKWELI NA UONGO, AU ANASEMA UKWELI NA UONGO (KWA LENGO LA ..

Read more