Kuna mwandishi mmoja ambaye Bwana Yesu alimwambia sentensi moja ambayo nataka tujifunze kutoka kwa hiyo, na maneno y..
Author : watakatifuwasikuzamwisho

Mfano huo Bwana Yesu aliwatolea wakuu wa makuhani na wazee wa watu baada ya kuona kuwa wana mioyo migumu ya kumwamini japokuwa walikuwa wakifahamik..

Kwenye maandiko kuna mfalme mmoja wa taifa la Israel aliyeitwa Sauli, ambaye pia alikuwa ni mfalme wa kwanza wa taifa hilo. Mfalme huyu kuna siku Mungu alimpa AGIZO kupitia nabii Samweli ..
Maneno hayo aliyasema Bwana Yesu baada ya kujibu swali aliloulizwa na mtume Petro, sasa Ili tuelewe vizuri tusome katika kitabu..

kuwa, Mungu huwa ana thamini sana damu ya mwenye haki ambaye anauwawa kwa fitina na siku zote damu hiyo huwa ina thamani sana ..

Shalom, Bwana Yesu apewe sifa. Ukisoma maandiko utakungua kuwa mtume Paulo alitokewa na Bwana Yesu wakati akiwa njiani kwenda kuwakamata Wakristo waliokimbilia Dameski, na kusudi au sababu ya Bwana kumtokea Paulo maandiko ..

Kama tulivyotangulia kuona katika makala ya sehemu ya kwanza (01) kwamba, neno kuzimu katika biblia linaweza tumika kuwakilisha Jehanam (Hell), linaweza pia kutumika kuwakilisha shimo lisi..
Ni kweli kabisa kuwa, Bwana Yesu alibatizwa na Yohana mbatizaji mto Yordani, lakini maandiko yanasema kuwa, ndani ya Bwana Yesu hakukuwa na hila na wala dhambi haimo ndani yake ( 1 Yohana 3:5 ) na mpaka kuna wakati aliuliza swali kwa uwazi kwa watu kuwa, kama kunamtu anamshuhudia kuwa yeye ana dhambi..

Moja ya jambo muhimu sana kwa mkristo yoyote yule, ambalo Bwana Yesu alisisitiza ni kuwa WAOMBAJI, na faida ya kuwa waombaji Bwana Yesu aliitaja kuwa, tukiwa waombaji kamwe hatutoingia m..