Malaki 1:6 Mwana humheshimu baba yake, na mtumishi humcha bwana wake; basi, KAMA MIMI NI BABA YENU, HESHIMA YANGU IKO WAPI? Na kama mimi ni bwana wenu, kicho changu ki wapi?..
Malaki 1:6 Mwana humheshimu baba yake, na mtumishi humcha bwana wake; basi, KAMA MIMI NI BABA YENU, HESHIMA YANGU IKO WAPI? Na kama mimi ni bwana wenu, kicho changu ki wapi?..
Ukisoma maandiko utagundua tabia moja ambayo mtume paulo alikuwa nayo kabla ya kumwamini Bwana Yesu na pia hata baada ya kumwamini Bwana Yesu. Na tabia hiyo si nyingine zaidi ya kuwa mtu wa BIDII SANA katika mambo yake, hasa kwa yale aliyoyaamini kuwa ni kwaajiri..