Author : watakatifuwasikuzamwisho

Amepatwa na haya tangu lini?

Ipo habari ambayo ni muhimu sana wazazi kuifahamu kuhusiana na maisha ya watoto wao. Watu wengi wanapuuzia maisha ya rohoni ya watoto wao wakidhani kuwa shetani hawezi kuyasogelea, kumbe hawajui ibilisi mpango wake unaanzia tangu kwenye msingi wa maisha ya mwanadamu. Leo tutaazama kisa hiki kimoja katika maandiko. Utakumbuka mitume walipewa amri na Bwana ya ..

Read more

Mchokoo ni nini katika maandiko? (Matendo 26:14)

Zamani wakulima walipokuwa wanakwenda kulima na wanyama, hususani ng’ombe, walikuwa wanajua kuwa watakumbana na ukinzani wa baadhi ya hawa wanyama, Kwasababu mara nyingine wapo ng’ombe viburi, ambao walikuwa hawataki kulimishwa, hivyo  kila wakati walikuwa wanarusha mateke yao tu, na kuwasumbua sana wakulima. Hivyo wakulima wakabuni kitu mifano wa mkuki ambacho walikisogeza karibu kabisa na migongo ..

Read more

“Mke wa ujana wako” anayezungumziwa katika biblia ni yupi?

Neno hilo utalipata katika vifungu hivi; Mithali  5:18 “Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako”. Malaki 2:14 “Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu Bwana amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako”. Watu wengi ..

Read more

Yohana 19:32 “Basi askari wakaenda, wakamvunja miguu wa kwanza, na wa pili, aliyesulibiwa pamoja naye. 33 Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu; 34 lakini askari mmojawapo alimchoma ubavu kwa mkuki; na mara ikatoka damu na maji.

Tusome; Yohana 19:32 “Basi askari wakaenda, wakamvunja miguu wa kwanza, na wa pili, aliyesulibiwa pamoja naye. 33 Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu; 34 lakini askari mmojawapo alimchoma ubavu kwa mkuki; na mara ikatoka damu na maji. 35 Naye aliyeona ameshuhudia, na ushuhuda wake ni kweli; naye anajua ya kuwa ..

Read more

Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwa nini Mungu alilifananisha Kanisa na mwanamke? Au kwanini Mungu alifananisha mahusiano Yake na Kanisa kama mahusiano ya Mume na mke wake? Yeremia 31:31Angalia, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda. 32 Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika ..

Read more

SWALI: Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake” JIBU: Ili tuelewe vizuri tusome, Habari yote, katika Mathayo 11:16-19 Mathayo 11:16 “Lakini nitakifananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wanaokaa sokoni, wanaowaita wenzao, wakisema,17 Tuliwapigia filimbi, wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.18 Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, ..

Read more

SWALI: Bwana Yesu alimaanisha nini kusema. “Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili”. Je hao kondoo wengine ni wapi? Na Zizi hilo ni lipi? Yohana 10:16 “Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja”. JIBU: Maneno ..

Read more

SWALI: Kauli hiyo ilimaanisha nini? Kwanini Bwana Yesu asema “Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme” Luka 10:17 “Ndipo wale sabini waliporudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hata pepo wanatutii kwa jina lako. 18 Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme. 19 Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule ..

Read more

Sherehe yoyote ile, iwe ni  ya kuzaliwa, au ya mahafali, au ya ndoa, au ya kitaifa, biblia haijakataza kwa namna yoyote ile kusheherekewa. Isipokuwa sherehe za ulafu ndio zimekatazwa… Sherehe za ulafi ni sherehe, zinazoambatana na mambo kama ulevi, anasa, mashindani, uvaaji mbovu, matusi, mauaji, n.k. Kwamfano, Herode alipokuwa anasheherekea, sikukuu yake ya kuzaliwa, alimwalika ..

Read more

Swali: Je pale Bwana Yesu aliposema, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Alimaanisha tukawahubirie injili mijusi, na swala, na ngamia? Marko 16:15 “Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa”. JIBU: Bwana hakuwa na maana, kwamba tukawahubirie Wanyama hawa injili, hapana, kwasababu mnyama hawezi kuamini ..

Read more