Usichukie Kuambiwa ukweli Upo usemi unaosema ”ukweli unauma” hilo ni kweli kabisa, ni watu wachache sana ambao wanaweza kupokea ukweli kama ilivyo hata kama unawakosoa, wengi huwa hawataki kuambiwa ukweli wa mienendo yao mibovu, tabia zao mbaya, udhaifu wao, kasoro zao.. na hali zao za kiroho. Katika biblia tunasoma mtu mmoja ambaye aliambiwa ukweli wa ..
Author : Yonas Kisambu
KWASABABU MSIPONISADIKI YA KUWA MIMI NDIYE MTAKUFA KATIKA DHAMBI ZENU. Yohana 8:21-24 “Basi akawaambia tena, Mimi naondoka, nanyi mtanitafuta; nanyi mtakufa katika dhambi yenu; mimi niendako ninyi hamwezi kuja. [22]Basi Wayahudi wakasema, Je! Atajiua! Kwa kuwa asema, Mimi niendako ninyi hamwezi kuja? [23]Akawaambia, Ninyi ni wa chini, mimi ni wa juu; ninyi ni wa ulimwengu ..
Iweke sadaka yako juu ya mwamba halisi. Shalom mtu wa Mungu.. Bwana Yesu Kristo asifiwe. Ni siku nyingine tena Bwana ametupa neema ya kuendelea kuona jua lake.. utukufu na heshima ni zake milele. Karibu tujifunze Neno lake ambalo ni mwanga wa njia zetu. Na siku ya leo tutajifunza somo linalohusu sadaka, ikiwa utahitaji kufahamu zaidi ..
Kwanini ni lazima kuzaliwa mara ya pili? Yohana 3:3 “Yesu akajibu, akamwambia, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu.” Hapo maandiko yanatupa jibu la moja kwa moja kwamba mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuona ufalme wa Mungu. Ndio maana ni lazima kuzaliwa mara ya pili. Sasa, kabla hatujaona ..
Je umetambua kuwa we ni shujaa wa Bwana? Kama wewe ni msomaji mzuri wa biblia, utakuwa unafahamu ile habari ya Gideoni alipoitwa na Bwana, biblia inatuonyesha kuwa Gideoni alikuwa ni shujaa lakini hakujitambua mpaka alipotokewa na malaika wa Mungu na kujulishwa kuwa we ni shujaa. Hebu turejee biblia… Waamuzi 6:11-16 Malaika wa BWANA akaenda akaketi ..
Naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake. Mathayo 24:17-18 naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake; [18]wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake. Katika nyakati tunazoishi kila mtu anafahamu kuwa tunaishi ukingoni kabisa mwa siku za mwisho, lakini cha kusikitisha ni kwamba pamoja na kuwa watu ..
Je mzizi wa dhambi umekatwa ndani yako? Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo, Karibu tujifunze habari njema za uzima wa roho zetu. Mzizi maana yake ni chanzo cha kuwepo kwa kitu fulani au jambo Fulani, au tatizo fulani. Kwa mfano, ili mti uweze kustawi vizuri na kuzaa matunda ni lazima kuwe na mizizi inayoenda ..
Fahamu Injili inayopatikana katika mimea chungu. Je unafahamu kuwa kila kitu unachokiona kinahubiri injili ya Yesu Kristo? Shalom, jina kuu tukufu la Bwana Yesu libarikiwe milele na milele. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Bwana wetu Yesu alitoa mifano mingi tofauti tofauti ya vitu vya hapa duniani kuelezea/kuhubiri Injili ya ufalme wa Mungu, ukisoma biblia utaona ..
Je unafahamu mtego wa manabii wa uongo. Manabii wa uongo wanafanana na BUIBUI. Je unafahamu njia anayoitumia buibui kujipatia chakula? Buibui ni mdudu ambaye huwa anatabia ya kujitengenezea utandu (mtego) kwa lengo la kunasa wadudu wengine wadogo wadogo kama nzi kwa ajili ya chakula. Hivyo mdudu asiyekuwa na nguvu ya kupita kwenye huo mtego..huwa ..
USIWE NA SHINGO NGUMU Watu wenyewe shingo ngumu ni watu wa namna gani? Hii ni sifa mojawapo ya watu wenye shingo ngumu. 1.Siku zote wanampinga Roho Mtakatifu Matendo ya Mitume 7:51 “Enyi wenye shingo gumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, siku zote mnampinga Roho Mtakatifu; kama baba zenu walivyofanya, na ninyi ni vivyo hivyo.” Katika siku ..