Author : Yonas Kisambu

TUMEANDALIWA NCHI NZURI YA KUMETA META Mtunzi wa tenzi namba 143, katika ule ubeti wa kwanza anaimba akisema.. “Nchi nzuri yametameta, Huonekana kule mbali, Naye Yesu hutuongoza. Tukafike na sisi huko”. Je! na wewe unaiona ile nchi nzuri ya kumeta meta mbele yako? Kuna nchi nzuri ambayo Bwana ametuandalia mbele, hiyo nchi ni nchi yenye ..

Read more

SISI NI TAIFA TEULE LA MUNGU. 1 Petro 2:9-10 “Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, TAIFA TAKATIFU, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu; [10]ninyi mliokuwa kwanza si taifa, BALI SASA NI TAIFA LA MUNGU; mliokuwa hamkupata rehema, bali sasa mmepata ..

Read more

Swali: ni nani huyo anayetajwa katika Hesabu 24:17 Jibu tusome; Hesabu 24:17 Namwona, lakini si sasa; Namtazama, lakini si karibu; Nyota itatokea katika Yakobo Na fimbo ya enzi itainuka katika Israeli; Nayo itazipiga-piga pembe za Moabu, Na kuwavunja-vunja wana wote wa ghasia. Huyo anayetajwa hapo, bila shaka ni YESU KRISTO Mkuu wa Uzima na Bwana wa Mabwana, yeye ..

Read more

Je! una nia gani na kile unachoomba kwa Bwana. Shalom, jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe Mara nyingi tumekuwa tukipeleka maombi yetu kwa Mungu na hatuoni kujibiwa mpaka wakati mwingine tunakata tamaa na kusema labda Mungu hasikii. Ukweli ni kwamba Mungu wetu anasikia sana na anajibu kabisa kwa wakati wala hakawii kujibu… anasema sikio lake ..

Read more

BALI ALIELEKEZA USO WAKE JANGWANI Jina la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa uzima na Mfalme wa Wafalme libarkiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Kama wewe ni msomaji mzuri wa biblia, bila shaka utakuwa unaifahamu ile habari ya Balaamu na wana wa Israeli jangwani. Sasa pamoja na mengi mabaya ambayo hatupaswi kujifunza kwake, lipo jambo ..

Read more

MAANA PARAPANDA ITALIA 1 Wakorintho 15:51-52 “Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika, [52]kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; MAANA PARAPANDA ITALIA, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika”. Ni wazi kuwa kila mtu analijua hili, kwamba tunaishi kabisa ukingoni mwa nyakati na Yesu Kristo amekaribia kurudi ..

Read more

Vitu vitano ambavyo hupaswi kupunguza kabisa katika safari ya imani. Jina la Bwana Yesu Kristo libarkiwe milele na milele. Ikiwa we ni mkristo wa kweli, vipo vitu vitano ambavyo hupaswi kabisa kupunguza katika safari yako ya wokovu. Kwanza jambo ambalo unapaswa kufahamu ni kuwa wokovu ambao tumeupokea bure kwa neema ya Yesu Kristo Bwana wetu ..

Read more

Kwanini Yesu ni njia ya kweli na uzima na pasipo kupitia kwake hatuwezi kumwona Mungu. Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Kwanza ni vizuri kufahamu kigezo cha kumuona Mungu ni UTAKATIFU, na ndio maana biblia inasema.. “Tafuteni kwa bidii kuwa na ..

Read more

Vitu vitatu ambavyo unapaswa kufanya mara tu baada ya kuokoka ili ufikilie utakatifu. Nakusalimu katika jina la Mwokozi YESU KRISTO Mfalme wa wafalme na Bwana wa Mabwana. Kama kijana, mzee na mtu yoyote uliyemwamini Yesu Kristo na kukubali kumfuata, vipo vitu vitatu ambavyo ni lazima uvifanye ili uweze kufikilia utakatifu. Kwanini utakatifu? Ni kwasababu pasipo ..

Read more

Nini maana ya Mhubiri 11:3b Mhubiri 11:3 Mawingu yakiwa yamejaa mvua, Yataimimina juu ya nchi; NA MTI UKIANGUKA KUELEKEA KUSINI, AU KASKAZINI, PAANGUKAPO ULE MTI, PAPO HAPO UTALALA. Swali nini maana ya maneno haya, mti ukianguka kuelekea kusini au kaskazini Paangukapo ule mti papo hapo utalala? Kwanza kabla hatujapata maana ya maneno hayo, hebu kwanza tuone mti unawakilisha ..

Read more