Author : Yonas Kisambu

YATAFAKARI MATESO YA BWANA YESU Shalom..jina la Bwana Yesu Kristo mkuu wa uzima libarikiwe. Karibu tujifunze maneno yake ya uzima. Hii neema ya wokovu  ambao unapatikana sasa bure, tusidhani yule aliyetuletea hakuingia gharama yoyote kuupata,…haikuwa ni jambo la kutamka tu na kusema niaminini mimi mtaokoka!. Kristo ilimlazimu aingie gharama ili kukamilisha kitu kinachoitwa WOKOVU. Kwani ..

Read more

Ni nini tunajifunza kwa Shamgari? Shamgari alikuwa ni shujaa wa Israeli aliyetokea kipindi cha Waamuzi na kuwaokoa Israeli mikononi mwa Wafilisti kwa kuwapiga watu mia sita (600) kwa mkono wake mwenyewe akitumia tu fimbo ya kuswagia ng’ombe. Tusome habari yenyewe.. Waamuzi 3:31 “Tena baada yake huyo alikuwapo Shamgari mwana wa Anathi, aliyepiga katika Wafilisti watu ..

Read more

USIVAE MAVAZI YA KIGENI Sefania 1:8 “Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa MAVAZI YA KIGENI.” Katika ukiristo mavazi ya kigeni ni yapi? Neno la Mungu linasema.. Mathayo12:33 “Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya na ..

Read more