Moja ya tabia ambayo Bwana Wetu Yesu Kristo aliikemea sana na kutukataza tusiwe nayo ni unafiki, tunaliona hilo sehemu kadha wa kadha kwenye maandiko matakatifu aliposema kuwa, katika kuishi kwetu na kuendenda kwetu tusiwe kama wanafki, tunapotoa sadaka tusiwe kama wanafiki, tusalipo tusiwe kama wanafiki, tufungapo tusiwe kama wanafiki, na sehemu nyingine nyingi mno alipoikemwa tabia hiyo ya unafiki na..