Ikumbukwe kwamba, Ibrahimu aliambiwa na Mungu kuwa, atakuwa baba wa mataifa mengi duniani, yaani atakuwa na wana wengi katik..
Ikumbukwe kwamba, Ibrahimu aliambiwa na Mungu kuwa, atakuwa baba wa mataifa mengi duniani, yaani atakuwa na wana wengi katik..
Mungu baada ya kumjaribu Ibrahimu na Ibrahimu kushinda, Mungu alimbariki Ibrahimu kwa baraka mbali mbali, lakini kuna baraka moja ambayo aliambiwa na Mungu kuwa, kupitia uzao wake, MAK..
Mungu ni mmoja tu! aliyeumba mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo na ndiye aliye juu..
Mungu aliiadhibu miji ya Sodoma na Gomora kutokana na uovu uliokuwa ukifanywa na watu wa miji hiyo, lakini sababu nyingine ya Mungu kuiadhibu miji hiyo ni ili KUWA ISHARA AU MFANO KWA W..
JIBU NI HAPANA! Waraka huo haukuwa kwaajiri ya Wakorintho pekee. Kumekuwa na mapokeo baadhi leo hii katika kanisa, ambayo yanapinga maagizo ya moja kwa moja ya Mungu kutoka katika maandiko matakatifu [Kwenye waraka wa ..
Maneno hayo Bwana aliyasema juu ya SIKU YA SABATO, alipokua akiwajibu Mafarisayo baada ya kuwaona wanafunzi wake wakivunja masuke shambani n..
Kuna tabia moja iliyooneshwa na mitume, Andrea na Filipo kwenye biblia ambayo na sisi kama wanafunzi wa Bwana Yesu hatuna budi kuwa nayo. Na tabii hii au kitu hicho kilichofanywa na hao mitume tunakisoma katika ..
Maandiko yanasema kuwa, Bwana wetu Yesu Kristo kama Mwana-kondoo wa Mungu, alizichukua dhambi za dunia nzima kwa kufa kwake pale msalabani [kwa kuchinjwa pale masalabani] sasa, alizichukua vipi dhambi za watakatifu ambao walikufa kabla yake yeye? Mfano; Adamu, Hawa, Ibrahimu, Isaka, ..
Kwanza kabisa inabidi tufahamu kuwa, mapepo huwa wanayo tabia hiyo ya kulipuka na kumwangusha mtu chini pale mtu anapoombewa au pepo linapomtoka mtu huyo..
Maandiko yanamtaja Samweli kuwa, alishindwa kumtambua Mungu pale sauti yake ilipomwita kwa mara ya kwanza katika maisha yake, na sababu ya kushindwa biblia inaeleza kuwa..