
Hamna haja kukujibu katika..
Je! Ni kweli Bwana Yesu alishika sabato kulingana na ..
Nakusalimu kwa Jina kuu kupita majina yote, Jina la Yesu Kristo. Amani ya Kristo iwe pamoja nawe. Amina. Watu huwa wanafurahi sana wanapookoka na kufanyika watoto wa Mungu kwa kuwa ndani ya Yesu, ni jambo jema sana kwani hata mimi naifahamu vyema furaha ya Wokovu, yaani ni raha kweli hebu jaribu na wewe uone ambaye ..
BIBLIA NI NINI? Chimbuko la Neno Biblia, ni kutoka katika lugha ya Kiyunani, lenye maana ya “Mkusanyiko wa vitabu vitakatifu” Kikiwa kimoja kinaitwa Biblioni, lakini vikiwa vingi huitwa Biblia. Na vilizoeleka kuitwa hivyo kwasababu vitabu vya awali vya agano jipya, sehemu kubwa viliandikwa katika lugha hii ya Kiyunani, Kwahiyo vilipokusanywa Pamoja viliendelea kuitwa hivyo hivyo ..
Kwa kawaida mtu akiumia, pengine kajikata au kapigwa, ni ngumu sana kukaa bila kutokuonyesha Meno yake. Kwasababu kuna uhusiano mkubwa sana katika maumivu na meno ya mwanadamu, kama vile ilivyo uchungu na machozi. Sasa kile kitendo cha mtu kupata maumivu hayo makali mpaka kufikia hatua ya meno kukutana Pamoja, na kuyapekecha pekecha, huko ndiko kusaga ..