Archives : May-2025

MAKANISA SABA NA BIBI ARUSI WA KRISTO Jina la Bwana Yesu mkuu wa uzima libarikiwe milele na milele. Karibu tujifunze habari njema. Lakini kabla hatujaendelea mbele zaidi, nikuulize swali hili ndugu yangu, Je wewe ni bibi arusi wa Kristo? Nafahamu bila shaka utajibu ndiyo, lakini je unafahamu bibi arusi safi wa Kristo anatakiwa aweje? Huu ..

Read more

Ficha watoto wako ndani ya safina  Safina ni nini? Ni chombo cha majini kilichotumika mahususi kwa ukombozi. Ni mfano wa meli iliyotumika kuokoa watu/wanyama kutoka katika maangamizi fulani. Kwamfano katika biblia tunaona Nuhu aliagizwa atengeneze safina, ambayo ataingia yeye pamoja na familia yake, na wanyama wa nchi. Lakini pia wakati Musa anazaliwa, tunaona wazazi wake ..

Read more

Nini tunajifunza kwa Tamari Tamari ni mwanamke ambaye tunamsoma katika agano la kale, alikuwa ni mkwewe Yuda mwana wa Yakobo. Mwanzo 38:1 Ikawa wakati ule, Yuda akashuka kutoka kwa ndugu zake, akamfikia mtu Mwadulami, jina lake Hira. 2 Yuda akaona huko binti wa mtu Mkanaani, jina lake Shua. Akamtwaa, akaingia kwake. 3 Naye akapata mimba, ..

Read more

BABELI MKUU MAMA WA MAKAHABA Jina la Bwana YESU Mfalme wa Wafalme na Mkuu wa Uzima libarikiwe daima. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ni taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu. Siku ya leo tutajifunza kwa ufupi kuhusu siri ya uasi iliyojificha ndani ya kanisa, na tunapozungumzia siri ya uasi tunalenga ile ..

Read more

MADHARA YA ULEVI (Sehemu ya pili) Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu katika mwendelezo wa somo letu sehemu ya pili. Leo kwa neema za Mungu tutajifunza madhara ya ulevi ndani ya kanisa. Tunaposema ulevi ndani ya kanisa..hatulengi ule ulevi wa nje/mwilini kama tulivyoona katika sehemu ya kwanza bali tunalenga ulevi wa rohoni. ..

Read more

MADHARA YA ULEVI (Sehemu ya kwanza) Shalom: Jina Tukufu la Bwana Yesu libarikiwe milele. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je! Unafahamu madhara  ya ulevi kibiblia? Mbali na zile zinazojulikana na wataalamu wa afya, leo tutaangalia madhara ya ulevi hasa katika biblia ni zipi…karibu ufuatane nami katika somo hili naamini utajifunza kitu na kama wewe ni ..

Read more

Namna ya kuvishinda vita vya kifikra. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Vita vikubwa vya Shetani juu ya watoto wa Mungu si uchawi,uganga,nk lakini vita vikubwa Shetani anavyopigana na watoto wa Mungu na kuwadhoofisha kwa namna isiyokuwa ya kawaida na kuona hawafai tena mbele za Mungu basi ni ..

Read more

MAANA NYINGINE YA CHACHU. Je! Unafahamu chachu ni nini?. Chachu kwa lugha ya sasa ni HAMIRA, na kwa kawaida ukiitazama hamira unaweza ukadhani ni unga Fulani hivi, lakini kiuhalisia ule si unga bali ni mkusanyiko wa wadudu wenye uhai kwa lugha ya kitaalamu wanaitwa YEAST, hawa wanadudu ndio wanaofanya kazi ya kumengenya ule unga, na ..

Read more

Tunza Moto wa Madhabahu usizimike. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Agano la Kale ni kivuli harisi cha Agano jipya, na kama tukitaka kulifahamu vizuri agano jipya ni lazima tulielewe vizuri agano la Kale itakuwa ni rahisi zaidi kupata ufahamu wa biblia nzima(kuhusu wokovu Mungu ..

Read more