Author : Peter Paul

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Mtume Paulo alimaanisha nini kusema …”wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.” Sasa kabla ya kuona Paul alikuwa akimaanisha nini katika mstari huo na wakina na nani alikuwa akiwalenga watu wa namna gani? Ukianza ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima ya Mwokozi wetu. Katika kila Habari tunayoisoma katika Biblia nyuma yake kuna fundisho kubwa sana na la muhimu sana kulifahamu kwa kila Mkristo. Kila Habari imebeba ujumbe mkubwa sana nyuma yake, na bahati mbaya tunaishia kuona stori tu peke yake na hatuoni ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya Mwokozi wetu.   Kama Mwamini uliyeokoka ukampa Yesu Kristo maisha yako ni muhimu sana kujua unamuwakilisha nani kwa watu wanaokutazama. Katika jamii inayokuzunguka wakikutazama wanamuona Kristo ndani yako au wanauona ulimwengu ndani yako?, ni jambo la kuwa makini sana na kuwa ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo Mwokozi wetu. Kimiami kwa lugha ya sasa ni dirisha kubwa lililo katika ghorofa. Katika lugha/Kiswahili cha zamani ilimaniisha hivyo. Sasa ukisoma katika biblia ya kiingereza inaeleza wazi wazi kabisa maana yake ni nini!! Song of Solomon 2:9 [9]My beloved is like a gazelle or a young hart. Behold, he ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafari maneno ya uzima wetu.   Maandiko yanasema Neno la Mungu ni taa na mwangaza wa njia zetu   Zaburi 199:105 “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu”   Sasa katika ulimwengu wetu huu tunaoishi zipo njia za aina mbili tu ..

Read more

Shalom, nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo.   Katika biblia kila habari tunayoisoma inafundhisho kubwa sana nyuma yake ambalo Yesu Kristo anatamani sana tulifahamu na tujifunze kupitia hao ili na sisi tusije tukarudia makosa yale yale yaliyofanywa na wao hapo mwanzo.   Hivyo kila ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima.   Kuna mambo mengi kabla hujampa Yesu Kristo maisha yako yalikuwa ni ya muhimu naya msingi sana. Kiasi kwamba uliona ni sehemu ya maisha yako. ulijua wakati mwingine ukaaminishwa/nakuamini kuwa hayo ndio yanayoweza kukusaidia.   Mambo ambayo haikuwa rahisi kuyaacha na ulikuwa ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima.   Watu wengi sana wanafikiri kujulikana na Mungu ni kwenda kanisani kila siku,kufanya matendo mazuri, kuomba kila siku, kuwaombea watu na watu kupona,kutoa mapepo,kunena kwa lugha,kuona maono na kusikia sauti ya Mungu nk. Mambo haya ni mazuri lakini hayakufanyi kujulikana sana na ..

Read more

  Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Mungu wetu Hana Upendeleo (soma kumb 10:17, Rumi 2:11, Galatia 3:28), tusoma haya kwa pamoja.. Matendo ya Mitume 10:34-35 34″ Petro akafumbua kinywa chake, akasema, Hakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo; 35 bali KATIKA KILA TAIFA MTU AMCHAYE na kutenda haki HUKUBALIWA NA YEYE.”   Tangu Uumbaji ..

Read more

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Maombi ya kukemea au kufukuza mapepo hayamfungui mtu au kumweka huru moja kwa moja! Bali yanafukuza Yale mapepo kwa muda, na baadae watarudi kuangalia Hali ya maskani yao, kama kuna upenyo wa kurudi watarudi, tusome.. Mathayo 12: 43 “Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali ..

Read more