Kuwa Mtu Chunguza-chunguza na tafuta-tafuta. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Mtu wa kuchunguza-chunguza ni anatafsirika kwa namna gani? Mtu anayechunguza na kutafuta kuhusu mambo ya rohoni mara nyingi ni mtu anayehisi kiu ya kiroho au anayetafuta maana ya maisha, uelewa wa kiroho, na uhusiano wa kina na ..
Author : Paul Elias
Mungu amewekeza kitu kwako je! Unakitumiaje?. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kila mmoja mmoja wetu pale tu anapookoka Mungu anawekeza kitu ndani yako ambacho Mwisho wa siku anatarajia kiongezeke zaidi ya vile alivyokiweka kwa mara ya kwanza. Na ni jukumu lako kuhakikisha kinaongezeka. Kama vile muwekezaji yeyote ..
Maono yako ni nini katika mwaka mpya 2025 Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuongeze maarifa zaidi. Ni muhimu kwanza tukaelewa nini maana ya maono katika Muktadha wa kawaida kabisa. Maono ni nini? Ni dira au ndoto kuhusu maisha yako au malengo yako ya baadae. Tunaweza kusema.. ni muelekeo wa kimkakati unaolenga ..
“Mkiwa na Imani, Msipokuwa na Shaka Mtafanya si hilo la Mtini tu,.. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Wote tunaifahamu habari inayopatikana katika kitabu cha Mathayo 21:19-22 kama huifahamu ni vyema ukachukua muda wako kusoma na kutafakari naimani Roho Mtakatifu atakupa mengi zaidi kutoka katika habari hiyo fupi. ..
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tujifunze Neno la uzima. Somo hili ni maalumu kwa wanawake wote waliomwamini Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yao(Wanaoukiri uchaji wa Mungu). Hivyo ikiwa wewe ni mwanamke ni muhimu sana ukasoma na kutafakari ujumbe huu na Yesu Kristo atasema na wewe kwa namna ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Watu wengi wana bidii katika maombi wengine wanafunga kwa kipindi kirefu lakini mwisho wa siku hawaoni matokeo katika kile walichokuwa wanakiomba. Mwisho inapelekea kukata tamaa na kuona kama Mungu hawasikii ama yupo mbali na wakati mwingine wanahisi kuwa huenda wamekosea mahali fulani ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tujifunze maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Kama Mkristo ni muhimu sana kutambua hatima yako ni nini katika Ukristo ulionao. Ukishindwa kutambua hatima yako ni nini utajikuta unakosa shabaha juu ya kile Mungu anachotaka kukiona kwako. Utaelekekeza matumaini na nguvu zako nyingi na muda wako mwingi ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ni jambo la muhimu sana kulitambua hili na kujitathimini. Ipo tofauti kubwa sana kati ya kumcha Mungu na kumtumikia Mungu. Bahati mbaya sana watu wanasema wanamcha Mungu kumbe wanamtumikia Mungu tu wala hawamchi. Na siku ile Bwana Yesu hatawatambua kabisa. Tutaangalia mtu ..
Nakusalimu katika jina la mwokoziwetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Tulijifunza hapo nyuma kidogo juu ya somo linalosema ”fahamu utendaji kazi wa shetani katika kuwaangusha watoto wa Mungu” kama hukufanikiwa kulisoma nakushauri ulipitie hata kama utakuwa umeshalisoma lipitie tena litakuongezea kitu kikubwa. Katika somo hili la leo tutakwenda ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ni wazi kila mtu katika huu ulimwengu hasa kwa jamii ya watu wanaomwamini Yesu Kristo wanatamani kupendwa na si kwamba Mungu hawapendi la! Mungu hakuna mtu ambae anamchukia hata mpagani anampenda! Na ndio maana anataka aokoke asiende katika jehanum ya moto. Lakini ..