Author : Rehema Jonathan

Neno injili limetoka na neno la kigiriki euaggelion lenye maana ya “HABARI NJEMA” Kwahiyo maana kuu ya Injili kibiblia ni Habari njema za Yesu Kristo neno la Mungu linasema Luka 2:8 “Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku. 9 Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa ..

Read more

Kibiblia baradhuli ni mtu anayefanya jambo na anajua kabisa si sawa mbele za Mungu, mtu  kama huyo anafananishwa  mpumbavu mtu asiyefaa, anayevuka mipaka. Watu hawa hutawatambua Kwa tabia hizi, kulingana na maandiko    WATU WANAOMWAGA DAMU ISIYO NA HATIA Watu kama hawa ni mabaradhuli Kwa sababu anafanya jambo ambalo anajua kabisa mbele za Mungu ni ..

Read more

Maandiko yanaeleza wazi juu mtu aliye ishi miaka mingi katika biblia ukisoma Mwanzo 5:25 “Methusela akaishi miaka mia na themanini na saba, akamzaa Lameki. 26 Methusela akaishi baada ya kumzaa Lameki miaka mia saba na themanini na miwili, akazaa wana, waume na wake. 27 Siku zote za Methusela ni miaka MIA KENDA NA SITINI NA KENDA, ..

Read more

Bwana Yesu apewe sifa!, karibu katika kujifunza Neno la Mungu. Je neno mesheki linamaanisha nini? Neno hili tunalipata katika vifungu vifuatavyo (Zaburi 105:22,Ayubu 29:10,Zaburi 68:31). Sasa maana yake ni nini?. Masheki Ni watu wenye hadhi kubwa(watu wenye uwezo na Mamlaka)ambao sauti zao zinasikika na kuogopwa wakiongea nchi yote ama jamii yote wanatega sikio kusikiliza ni ..

Read more

Mithali 13:2 “Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake; Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri” Haini au Kwa lugha nyingine tunaweza sema MSALITI, Hivyo haini ni mtu msaliti ambaye hufanya usaliti kwa mtu fulani, au mtu anayefanya usaliti katika nchi yake kinyume na uzuri wa jambo fulani Lakini pia hata katika Imani mtu ..

Read more

Marhamu, ni kimiminika kilichotengenezwa kutokana na mimea mbalimbali ili kufanya kitu kiwe na harufu nzuri na kufukuza wadudu na viumbe waharibifu, aya Kwa Jina lingine ni pafyumu Lakini viwango na ubora wa manukato hutofautiana, kukiwa na marhamu ya bei ghali ambayo hayapunguzi harufu haraka, kama yale yaliyotumiwa na Yesu huko Bethania yalikuwa na ghali kwa ..

Read more

Safina ni chombo cha majini kilichotumika kuokoa, yaani kipo mahususi kwa ajili ya okombozi endapo tatizo litatokea ,Kwa lugha ya kiyahudi hiitwa  “Tevat”,  tukisoma katika maandiko Kipindi cha Nuhu, wakati Mungu alipotaka kungamiza dunia, Mungu alimpa Nuhu maagizo ya kutengeneza safina ambayo ataingia yeye pamoja na familia yake, na wanyama ambao Mungu alivuta waingia Kwa ..

Read more

Liwali ni mkuu wa mji au jimbo fulani au Kwa maana nyingine anajulikana kama Gavana Mfano Katika biblia tunamsoma Yusufu, farao alimfanya kuwa liwali katika nchi yote ya Misri Mwanzo 42:6 6 Naye Yusufu alikuwa ni liwali juu ya nchi, ndiye aliyewauzia watu wote wa nchi. Nao ndugu zake Yusufu wakaja, wakainama kifudifudi mbele yake. ..

Read more

Wakili kibiblia ni mtu aliyepewa jukumu la kusimamia nyumba, au kaya ya mtu mwingine, na hii inajumuisha usimamizi wa kifamilia na si hapo tu huenda hadi katika mali alizo nazo Bwana wake. Jambo hili tunaweza kuliona katika kitabu cha mwanzo15:2, pale ambapo Eliezeri alipokuwa wakili wa Ibrahimu kwa kuwa mwangalizi wa mali za Ibrahimu tusome ..

Read more

Jina la Mwokozi wetu litukuzwe, nakukaribisha katika kujifunza Neno la Mungu litupalo uzima wa milele… Je saumu ina maanisha nini katika Biblia ? Saumu ni neno la kiaramu lenye maana ya KUJIZUIA, kujizuia kufanya jambo/kitu Fulani kwa ajili ya ibada, au kwa maana nyingine saumu inamaanisha mfungo. ndipo hapo utakuta mtu anaacha kula kwa kipindi ..

Read more