Msaada wa Mungu unategemea jitihada zako. Kuna vitu hatuwezi kuvipokea kwa Mungu mpaka tuweke bidii kuvitafuta au kuvifanya ndiyo msaada wa Mungu utokee. Wengi tunashindwa kupiga hatua mbele kwasababu ya kumuachia Mungu afanye mambo yote…tunataka tuende tu mbele za Mungu tuombe atusaidie halafu turudi kukaa kusubiria huo msaada, nataka nikuambie leo ondoa hiyo mtazamo ndani ..
Author : Yonas Kisambu
Je! biblia inaturuhusu tuwe na hasira sawa sawa na Waefeso 4:26? Awali ya yote tusome andiko lenyewe. Waefeso 4:26 Mwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka; Hapo biblia inasema tuwe na hasira ila tusitende dhambi, lakini sehemu nyingine inasema hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu (Mhubiri 7:9). Hapo imekaaje? Hasira ..
LAKINI SASA YAWEKENI MBALI NANYI HAYA YOTE. Wakolosai 3: 8 Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote, hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. [9]Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake; Biblia imetuhasa tuweke mbali mambo hayo yote yaliyotajwa hapo juu; yaani hasira, ghadhabu, uovu, ..
FANYENI MAMBO YOTE KWA UTUKUFU WA MUNGU. Jina kuu la Yesu Kristo Mfalme Mkuu libarikiwe sana. Karibu tujifunze biblia. Neno la Mungu linasema katika.. 1Wakorintho 10:31 “Basi, mlapo, au mnywapo, au mtendapo neno lo lote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu. Biblia imetuagiza tufanye mambo yote kwa utukufu wa Mungu. Hii ikiwa na maana kuwa ..
OLE WENU NINYI!! Amosi 5:18 “Ole wenu! Ninyi mnaoitamani siku ya BWANA; kwani kuitamani siku ya BWANA? Ni giza, wala si nuru. [19]Ni kama mtu aliyemkimbia simba, akakutana na dubu; au aliingia katika nyumba akauegemeza mkono wake ukutani, nyoka akamwuma. Amosi 6:3-6,13 Ninyi mnaoiweka mbali siku hiyo mbaya, na kulileta karibu kao la udhalimu; [4]ninyi ..
Usimpelekee Bwana mashitaka ya maadui zako. Moja ya jambo ambalo linamchukiza sana Mungu ni maombi ya kuwaombea wanadamu wenzetu mabaya, hili linamchukiza sana na linaleta adhabu kwetu badala ya mazuri. Maombi ya kuwashitaki ndugu zetu kama maadui ni maombi mabaya sana, hata kama ni kweli wametuumiza. Hebu fikiria wewe ulipokuwa unawangia watu, unaiba vitu vya ..
KILA MTU NA AMHESABU MWENZIWE KUWA BORA KULIKO NAFSI YAKE Wafilipi 2:3-5 “Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. [4]Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. [5]Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ..
Usijigeuze na kuvaa mavazi mengine. Katika biblia tunamsoma mfalme mmoja wa Israeli ambaye alijigeuza na kuvaa mavazi mengine..na huyu si mwingine zaidi ya Sauli, na lengo la kufanya hivyo ilikuwa ni yeye asijulikane na kule anakokwenda kwa yule mwanamke mchawi. Tunasoma.. 1 Samweli 28:8 Basi Sauli akajigeuza, na kuvaa mavazi mengine, kisha akaenda, yeye na ..
SIMAMA KWA MIGUU YAKO. Ezekieli 2:1 “Akaniambia, Mwanadamu, simama kwa miguu yako, nami nitasema nawe. [2]Naye aliposema nami, roho ikaniingia, ikanisimamisha; nikamsikia yeye aliyesema nami.” Upo umuhimu mkubwa wa wewe kusimama kwa miguu yako mwenyewe hasa katika zama hizi za uovu. Ninaposema kusimama mwenyewe kwa miguu yako..ninamaanisha kuwa na mahusiano yako binafsi na Mungu. Wapo ..
NA WANADAMU WAKAUNGUZWA MAUNGUZO MAKUBWA Ufunuo wa Yohana 16:8 “Na huyo wa nne akakimimina kitasa chake juu ya jua, nalo likapewa kuwaunguza wanadamu kwa moto. [9]Wanadamu wakaunguzwa maunguzo makubwa, nao wakalitukana jina la Mungu aliye na mamlaka juu ya mapigo hayo; wala hawakutubu wala kumpa utukufu”. Umewahi kuitafakari mwisho wa hii dunia itakuaje? Biblia imeweka ..