Author : Yonas Kisambu

Funga kutafuta njia iliyonyooka. Ezra 8:21 “Ndipo nikaamuru kufunga, hapo penye mto Ahava, ili tupate kujinyenyekeza mbele za Mungu, na kutafuta kwake njia iliyonyoka, kwa ajili yetu sisi wenyewe, na kwa ajili ya watoto wetu, na kwa mali yetu yote”. Jina la Bwana YESU litukuzwe daima. Karibu tujifunze Neno la Mungu. leo kwa neema za ..

Read more

HUYU THEOFILO MTUKUFU NI NANI? Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia neno la Mungu wetu, ambalo ni taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa njia yetu. Leo tutajifunza juu ya mtu mmoja aliyeitwa Theofilo, ambaye biblia haijaeleza habari zake kwa urefu lakini amehusika pakubwa sana katika kuieneza injili. Luka 1:3 “nimeona ..

Read more

JE UMEPOKEA UWEZO WA KUFANYIKA MTOTO WA MUNGU? Nakusalimu katika jina kuu la Bwana Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Biblia inasema katika.. Yohana 1:12 “Bali wote waliompokea aliwapa UWEZO wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; [13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ..

Read more

FUMBUA MACHO YAKO UONE Biblia ilitabiri kuwa katika siku za mwisho watakuja watu wenye kudhihaki wakisema kurudi kwa Bwana YESU ni habari za kutunga tu, wanasema dunia hii itakuwepo milele, hakuna hukumu; lakini watu hawa biblia inasema “wanafumba macho yao wasione” wasione kuwa hii dunia iliwahi kuangamizwa kwa gharika na sasa imewekewa akiba kuangamizwa kwa ..

Read more

WAMENOA NDIMI ZAO KAMA NYOKA. Jina la Bwana YESU mkuu wa uzima libarikiwe milele. Karibu tujifunze Neno la Mungu lililo taa na mwanga wa njia zetu (Zab.119:105) Moja ya silaha anayoitumia adui kumshambulia Mtu ni “ULIMI WA UOVU”.. Ukiona Maneno ya uongo kuhusu wewe, au ya vitisho au ya uchonganishi yanatembea huku na huko basi ..

Read more

ACHA KUZIBA MASIKIO YAKO Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima. Tunasoma kitabu cha Matendo ya Mitume 7:54-58, Neno la Mungu linasema.. “Basi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno. [55]Lakini yeye akijaa Roho Mtakatifu, akakaza macho yake, akitazama mbinguni, akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama upande wa mkono wa kuume wa Mungu. [56]Akasema, Tazama! ..

Read more

KAMA MAMA YA MTU ALIVYO, NDIVYO ALIVYO BINTI YAKE. “Like mother, like daughter.” Unaelewa maana ya hii sentensi? Biblia inasema katika.. Ezekieli 16:44 “Tazama, kila mtu atumiaye mithali atatumia mithali hii kinyume chako, akisema, KAMA MAMA YA MTU ALIVYO, NDIVYO ALIVYO BINTI YAKE”. Hii ikiwa na maana kuwa tabia za mama ni sawa na tabia ..

Read more

LITAZAME JIWE HILI Jina la Mkuu wa Uzima (YESU KRISTO, Mwamba wa Milele), libarikiwe. Biblia inasema lipo Jiwe moja la gharama sana, na gumu sana, na lililo hai, linalokua na kuzaa.. Kwa kawaida Mawe, hayaishi, ni vitu visivyo na uhai. Lakini biblia inasema lipo Jiwe moja la kipekee ambalo LINAISHI!!.. Hilo ni tofauti na mawe ..

Read more

MIMI NAMI NITACHEKA SIKU YA MSIBA WENU. Jina la Bwana Yesu libarikiwe daima, karibu tuendelee kuyatafakari maneno ya Mungu. Mambo mengi yanayoendelea hapa duniani yamebeba ufunuo wa mambo yalivyo rohoni. Kwa mfano hukuku wanazotoa wanadamu kwa wanadamu wenzao katika mahakama yao, ni ufunuo wa hukumu ambayo Mungu ameandaa kuwahukumu wanadamu, ambao kila mtu atahukumiwa kulingana ..

Read more

ENYI WAPUMBAVU, LINI MTAKAPOPATA AKILI? Zaburi 94:7 “Nao husema, BWANA haoni; Mungu wa Yakobo hafikiri. [8]Enyi wajinga miongoni mwa watu, fikirini; Enyi wapumbavu, lini mtakapopata akili? Mpumbavu ni nani kibiblia? Mpumbavu ni mtu asiye na akili, na hapa hatuzungumzii akili ya darasani au kuwa na maarifa ya kidunia, hapana, unaweza ukawa na degree zote au ukawa namba ..

Read more