NA MIAKA ELFU NI KAMA SIKU MOJA 2 Petro 3:8 “Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja”. Kuna msemo ambao unajulikana na watu wengi kwamba ”Mungu hachelewi wala hawahi” maana yake wakati sisi tunaona amechelewa/amekawia kumbe yeye anaona amewahi sana, na ..
Author : Yonas Kisambu
Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa. Zaburi 68:11 “Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa;” Biblia inamwita mwanamke mwenye kutangaza habari njema kuwa ni “jeshi kubwa “ Nini biblia imeona kwa mwanamke hata kumfananisha na jeshi kubwa? Unajua unapozungumzia kuhusu jeshi kubwa una maana ya watu waliokuwa na mafunzo ya kujilinda na ..
Nini kinakutokea unapoenda kinyume na Nuru/Kweli. Nakusalimu katika jina lipitalo majina yote, jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Karibu tujifunze Neno la Mungu lililo taa na mwanga wa njia zetu. Kama tunavyojua kazi mojawapo ya mwanga ni kutusaidia kuona hususani wakati wa usiku. Lakini, je umewahi kutembea njiani ukakutana na mwanga mkali ukakumulika? Nini kilikutokea? ..
TENA HABARI NJEMA YA UFALME ITAHUBIRIWA KUWA USHUHUDA KWA MATAIFA YOTE. Mathayo 24:14 “Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja”. Bwana Yesu asifiwe ndugu mpendwa.. Ukitaka kujua kuwa mambo yote sasa yameshakamilika, kinachongojewa ni UNYAKUO tu, angalia hali ya mwitikio wa Injili sasa ..
Je! Unawaza kumfanyia Mungu nini katika maisha yako? 1 Wafalme 8:17 “Basi ilikuwa moyoni mwake Daudi, baba yangu, kujenga nyumba kwa jina la BWANA, Mungu wa Israeli. [18]Lakini BWANA akamwambia Daudi baba yangu, Kwa kuwa ilikuwa moyoni mwako kujenga nyumba kwa jina langu, ULIFANYA VEMA KUWAZA HIVI MOYONI MWAKO”. Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze ..
Maombi yanayompendeza Mungu. (Omba Mungu akupe moyo wa hekima zaidi ya mali) Kwanini tunapaswa kumuomba Mungu atupe hekima zaidi ya mali? Kwani! ni vibaya kuwa na mali? Kuwa na mali sio vibaya na tunahitaji, lakini pia tukikosa hekima, hata hiyo mali pia hatuwezi kutumia vizuri. Sulemani Mfalme wa Israeli mwana wa Daudi, Ni mtu aliyempendeza ..
HEKALU LA BWANA LIKO TAYARI Hekalu la kwanza kama tunavyofahamu lilitengenezwa na Mfalme Sulemani, Ni hekalu lililochukua kipindi cha miaka 7 mpaka kukamilika, Tunasoma.. 1 Wafalme 6:38 ”Hata katika mwaka wa kumi na mmoja, katika mwezi wa Buli, ndio mwezi wa nane, nyumba ikaisha, mambo yake yote, na sharti zake zote. Basi muda wa miaka ..
Mapambo yanachochea uzinzi. Je! Ni kweli kujipamba kwa kutumia mekaups, lipustiks, wanja, wigi, hereni, n.k ni urembo tu? Je! Biblia inasemaje kuhusu kujipamba? Biblia inasema kujipamba kwenu kusiwe kwa nje. Ahaa kumbe tunatakiwa kujipamba lakini sio kwa nje! sasa kama sio kwa nje, basi itakuwa kwa ndani. Maana yake wanawake wa kikirsto wanapaswa wajipambe kwa ..
WALAKINI MAHALI PA JUU HAPAKUONDOLEWA. 2 Wafalme 14:4 “Walakini mahali pa juu hapakuondolewa; watu wakaendelea kutoa dhabihu na kufukiza uvumba katika mahali pa juu.” Jina la mwokozi Yesu libarikiwe daima, karibu tujifunze biblia neno la Mungu lililo taa na mwanga wa njia zetu. Katika Agano la kale nyakati za Wafalme, kuna watu walikuwa wanatoa sadaka ..
Mungu ndiye abadilishaye mashauri. Ni kawaida kusikia ushauri wa mtu Fulani ni zuri au kusikia yule usimsikilize ushauri wake utakupoteza. Lakini watu wengi hatujui kuwa ushauri wa Bwana ni mzuri zaidi ya ushauri wa wanadamu, kwani mara nyingi adui shetani amekuwa akiwatumia watu kuharibu maisha ya watu wengi kupitia ushauri ambao tunaweza kuupokea na kuona ..