Zamani wakulima walipokuwa wanakwenda kulima na wanyama, hususani ng’ombe, walikuwa wanajua kuwa watakumbana na ukinzani wa baadhi ya hawa wanyama, Kwasababu mara nyingine wapo ng’ombe viburi, ambao walikuwa hawataki kulimishwa, hivyo kila wakati walikuwa wanarusha mateke yao tu, na kuwasumbua sana wakulima. Hivyo wakulima wakabuni kitu mifano wa mkuki ambacho walikisogeza karibu kabisa na migongo ..