Category : Uncategorized

Je biblia inaruhusu kubatiza kwa ajili ya wafu?(1Wakorintho 15:29)

1Wakorintho 15:29 “Au je! Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu watafanyaje? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini kubatizwa kwa ajili yao? Ili kuelewa mtume Paulo alimaanisha nini katika habari hiyo, tuanzie mistari ya juu kidogo, 1Wakorintho 15:12 “Basi, ikiwa Kristo anahubiriwa ya kwamba amefufuka katika wafu, mbona baadhi yenu husema kwamba hakuna kiyama ya wafu? ..

Read more

Amepatwa na haya tangu lini?

Ipo habari ambayo ni muhimu sana wazazi kuifahamu kuhusiana na maisha ya watoto wao. Watu wengi wanapuuzia maisha ya rohoni ya watoto wao wakidhani kuwa shetani hawezi kuyasogelea, kumbe hawajui ibilisi mpango wake unaanzia tangu kwenye msingi wa maisha ya mwanadamu. Leo tutaazama kisa hiki kimoja katika maandiko. Utakumbuka mitume walipewa amri na Bwana ya ..

Read more

SWALI: Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake” JIBU: Ili tuelewe vizuri tusome, Habari yote, katika Mathayo 11:16-19 Mathayo 11:16 “Lakini nitakifananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wanaokaa sokoni, wanaowaita wenzao, wakisema,17 Tuliwapigia filimbi, wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.18 Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, ..

Read more

SWALI: Kauli hiyo ilimaanisha nini? Kwanini Bwana Yesu asema “Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme” Luka 10:17 “Ndipo wale sabini waliporudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hata pepo wanatutii kwa jina lako. 18 Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme. 19 Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule ..

Read more

Sherehe yoyote ile, iwe ni  ya kuzaliwa, au ya mahafali, au ya ndoa, au ya kitaifa, biblia haijakataza kwa namna yoyote ile kusheherekewa. Isipokuwa sherehe za ulafu ndio zimekatazwa… Sherehe za ulafi ni sherehe, zinazoambatana na mambo kama ulevi, anasa, mashindani, uvaaji mbovu, matusi, mauaji, n.k. Kwamfano, Herode alipokuwa anasheherekea, sikukuu yake ya kuzaliwa, alimwalika ..

Read more

Swali: Je pale Bwana Yesu aliposema, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Alimaanisha tukawahubirie injili mijusi, na swala, na ngamia? Marko 16:15 “Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa”. JIBU: Bwana hakuwa na maana, kwamba tukawahubirie Wanyama hawa injili, hapana, kwasababu mnyama hawezi kuamini ..

Read more