Sherehe yoyote ile, iwe ni ya kuzaliwa, au ya mahafali, au ya ndoa, au ya kitaifa, biblia haijakataza kwa namna yoyote ile kusheherekewa. Isipokuwa sherehe za ulafu ndio zimekatazwa… Sherehe za ulafi ni sherehe, zinazoambatana na mambo kama ulevi, anasa, mashindani, uvaaji mbovu, matusi, mauaji, n.k. Kwamfano, Herode alipokuwa anasheherekea, sikukuu yake ya kuzaliwa, alimwalika ..
Category : Uncategorized
Swali: Je pale Bwana Yesu aliposema, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Alimaanisha tukawahubirie injili mijusi, na swala, na ngamia? Marko 16:15 “Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. 16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa”. JIBU: Bwana hakuwa na maana, kwamba tukawahubirie Wanyama hawa injili, hapana, kwasababu mnyama hawezi kuamini ..
Kuoa/kuolewa na mtu aliyekuzidi umri, ni sawa kibiblia? Biblia haijatoa katazo lolote la ki umri katika suala la ndoa. Imekataza mambo kama ndoa za jinsia moja, kuoa wake wengi, kufanya tendo la ndoa kinyume na maumbile.. Lakini katika eneo la umri, haijasema chochote, na hivyo, si dhambi, mtu kuoa/ kuolewa na mtu aliyemzidi umri, maadamu ..
Ili mkristo yeyote aweze kusimama, na kuwa na ustawi mzuri wa maisha yake ya kiroho, basi hana budi kuhakikisha mambo haya manne yamesimama vema ndani yake. Neno la Mungu Maombi Ushirika Kuangaza Nuru Tukisoma kitabu cha matendo ya Mitume sura ile ya pili utaona, pindi tu wale watu walipoamini Injili ya mitume na kubatizwa, hawakukaa ..
Ibrahimu baba wa imani, alikuwa na jumla ya watoto (8). 1) Mwana wake wa kwanza(1) aliitwa Ishmaeli: Huyu alikuwa ni mwana wa kijakazi wa mke wake, aliyeitwa Hajiri. Ishmaeli alipatakana, kwasababu ya Sara kukosa mtoto kwa muda mrefu, hivyo akaona ili amstahi mume wake, akamruhusu akamruhusu kijakazi wake alale na mumewe, ampatie uzao. Ndipo akazaliwa ..
Kuna aina kuu tatu za dhambi. Dhambi isiyo ya mauti Dhambi ya Mauti Dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu. Dhambi isiyo ya mauti ni dhambi ambayo mtu akiifanya anaweza kusamehewa, bila ya adhabu yoyote, au hata akipokea adhabu basi haitakuwa adhabu ya kumfanya afe. Nyingi ya dhambi tunazozitenda leo hii zinaangukia katika kundi hili. Pale mtu ..
Uasherati ni kitendo cha kufanya zinaa nje ya ‘kifungo cha ndoa’. Hii ikilenga makundi yote ya watu, yaani kwa mtu ambaye hajaoa/hajaolewa na kufanya kitendo hicho.. Na kwa mtu ambaye tayari ameshaoa/ ameshaolewa, lakini akaenda kufanya kitendo hicho na mtu mwingine ambaye hakufunga naye ndoa. Vyote hivyo ni vitendo vya uasherati.. kwasababu vyote vipo nje ..
1 Wathesalonike 5:18 shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu. 19 Msimzimishe Roho; 20 msitweze unabii; Neno kutweza maana yake ni ‘kupuuzia au kudharau’ jambo fulani. Hivyo hapo inaposema Msitweze unabii inamaanisha kuwa tusipuuzie unabii. Kumbuka Biblia ni kitabu cha kinabii, ambacho sio tu kinaeleza habari ya mambo ..
Wengi wetu tunaposikia neno ufisadi moja kwa moja akili zetu zinatupeleka kwenye vitendo vya ubadhilifu wa fedha za shirika fulani au za taifa kwa faida binafsi.. Lakini kibiblia Neno hili linatumika tofauti..linamaanisha kitendo cha ukahaba au umalaya uliopindukia ambao haujali hata jinsia umri au mazingira.. Hivyo popote pale ukutanapo na Neno hili ujue hiyo ndio ..
Shalom. Yapo maagizo mengi sana ya Bwana juu ya namna impasavyo mwanamke wa kiKristo kuenenda. Lakini leo tutaangalia juu ya huduma/wajibu wa mwanamke mzee katika kuukamilisha mwili wa Kristo (kanisa). Mwanamke mzee tunayezungumzia siyo lazima awe tu yule kikongwe au mwenye mvi kichwani, hapana bali mwanamke yeyote mwenye umri wa makamo, ambao wengi wao wanajulikana ..