Je! Umeiamini I..
Je! Umeiamini I..
Sabato maana yake ni PUMZIKO. Na pumziko la Mungu lilikuja katika siku ya saba, baada ya kumaliza uumbaji wake kwa siku sita. Hivyo akaibariki, akasema siku hiyo ni Sabato yangu. Lakini miaka mingi mbeleni, alipokuja kulichagua taifa moja teule, akawaagiza kuwa siku hiyo ya saba itakuwa ni siku ya kupumzika kwao, Na taifa lenyewe ndio ..
SWALI: Ikiwa yeye ndio mwanzilishi wa ubatizo wa maji tele na akawabatiza watu wengi, swali ni je yeye naye alibatizwa kama wao? Na kama ni ndio je alibatizwa na nani? JIBU: Katika suala la wokovu, kanuni ya Mungu huwa haichagui cheo cha mtu, ukubwa wa mtu, nafasi ya mtu au kwamba wewe ni mwanzilishi au ..
Biblia inamaanisha nini kusema “Yaliyopotoka hayawezi k..
Dhambi hainzii mwilini, bali dhambi inaanzia rohoni, na ndio maana Bwana Yesu alisema.. Mathayo 15:18 “Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. 19 Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano; Hivyo, kabla ya kutaka kufanya tendo lolote la zinaa, huwa linaanzia kwanza moyoni, kwa ..
“Na mkono wako wa kuume ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe;” Tusome habari nzima; Mathayo 5:28 “lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. 29 Jicho lako la kuume likikukosesha, ling’oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum. 30 Na ..
1Wakorintho 15:29 “Au je! Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu watafanyaje? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini kubatizwa kwa ajili yao? Ili kuelewa mtume Paulo alimaanisha nini katika habari hiyo, tuanzie mistari ya juu kidogo, 1Wakorintho 15:12 “Basi, ikiwa Kristo anahubiriwa ya kwamba amefufuka katika wafu, mbona baadhi yenu husema kwamba hakuna kiyama ya wafu? ..
Ipo habari ambayo ni muhimu sana wazazi kuifahamu kuhusiana na maisha ya watoto wao. Watu wengi wanapuuzia maisha ya rohoni ya watoto wao wakidhani kuwa shetani hawezi kuyasogelea, kumbe hawajui ibilisi mpango wake unaanzia tangu kwenye msingi wa maisha ya mwanadamu. Leo tutaazama kisa hiki kimoja katika maandiko. Utakumbuka mitume walipewa amri na Bwana ya ..
Tusome; Yohana 19:32 “Basi askari wakaenda, wakamvunja miguu wa kwanza, na wa pili, aliyesulibiwa pamoja naye. 33 Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu; 34 lakini askari mmojawapo alimchoma ubavu kwa mkuki; na mara ikatoka damu na maji. 35 Naye aliyeona ameshuhudia, na ushuhuda wake ni kweli; naye anajua ya kuwa ..
Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwa nini Mungu alilifananisha Kanisa na mwanamke? Au kwanini Mungu alifananisha mahusiano Yake na Kanisa kama mahusiano ya Mume na mke wake? Yeremia 31:31Angalia, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda. 32 Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika ..