Archives : May-2025

Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; Isaya 42:20 “Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; masikio yake ya wazi, lakini hasikii.” Je! we ni miongoni mwa waonao mambo mengi, lakini huyatii moyoni? Neno la Mungu linasema.. Isaya 28:22 Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa; maana nimesikia kwa Bwana, BWANA wa majeshi, habari ..

Read more

UMCHUKUE MWANAO, MWANA WAKO WA PEKEE, UMPENDAYE. Shalom jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Siku ya leo tutajifunza umuhimu wa kumtolea Mungu wetu vile vinavyotugharimu. Wengi wetu tunafahamu ile habari ya Ibrahimu baba yetu wa Imani..kumtoa Isaka mwanaye pekee kuwa sadaka ya kuteketezwa, Mungu alimwambia Ibrahimu.. Mwanzo 22:2 “Akasema, ..

Read more

Upo karibu na Yesu? Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima! Sio Wakristo wote wako karibu na Yesu Kristo au wanaushirika wa karibu naye. Kil Mkristo alieokoka ana Yesu ndani yake(Roho Mtakatifu) lakini si kila Mkristo ana ushirika wa karibu sana na Yesu Kristo. Kuwa karibu na Yesu Kristo sio ..

Read more

MZAZI MRUDI MWANAO (Masomo yahusuyo malezi kwa watoto) Wewe kama mzazi/mlezi unawajibu wa kumlea mwanao katika njia ipasavyo kama biblia inavyotuambia (Mithali22:6) Usipomlea mtoto wako katika njia iliyobora na ukamwacha tu ajiamulie kila kitu ujue shetani atakusaidia kumlea na kumwongoza katika njia ya uharibifu, Katika biblia tunasoma habari moja ya kijana aliyeitwa Adonia..ambaye alikuwa miongoni ..

Read more

  JE! UMEUONA USO WA MUNGU? Jina la Bwana Yesu mwokozi wa ulimwengu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu lililo taa ya miguu yetu, Na mwanga wa njia zetu (Zaburi 119:105). Leo kwa neema za Mungu tutajifunza maana halisi ya kuuona uso wa Mungu na umuhimu wake. Je! tunaweza tukauona uso wa Mungu? Mbona ..

Read more

NIMEOKOKA NAMPENDA YESU. Shalom: jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tuongeze ufahamu wa kumjua Mungu. Unaelewa maana halisi ya kuokoka na kumpenda Yesu? Katika  siku hizi za mwisho, Neno hili “kuokoka na kumpenda Yesu” au kukiri ukristo. Limekuwa likitumiwa kinyume na ukweli wa Neno lenyewe. Kwani kila mtu sasahivi ukimuuliza umeokoka? Moja kwa moja atakujibu ..

Read more

  MAMBO HAYO YAANZAPO KUTOKEA. Jina kuu tukufu..jina la Bwana Yesu Kristo Mfalme wa dunia yote na Mkuu wa Uzima libarikiwe. Karibu tuyatafakari maneno ya Uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo. Leo kwa msaada wa Roho Mtakatifu nataka tutafakari kwa umakini kauli moja ambayo Bwana Yesu alisema kuhusu ujio wake wa mara ya pili. Bwana ..

Read more

Fahamu jambo moja ambalo Bwana anataka tu kwako? Ikiwa unafikiria kumrudia muumba wako, na unashindwa pa kuanzia. Yamkini unawaza kwamba umetenda dhambi nyingi sana, kiasi kwamba unahisi tayari umeshamkufuru Mungu, na unaona hata ukimrudia hautasamehewa kwa wingi wa dhambi ulizozifanya. Basi leo Bwana anasema nawe kwa neno hili.. Yeremia 3:13 “Ungama uovu wako tu; ya ..

Read more

  USIWEKE TUMAINI LAKO HAPA DUNIANI. Yeremia 45: 5 “Je! Unajitafutia mambo makuu? Usiyatafute; kwa maana tazama, nitaleta mabaya juu ya wote wenye mwili, asema BWANA; lakini roho yako nitakupa wewe iwe nyara, katika mahali pote utakapokwenda” Shalom: Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Mtume Paulo kwa ufunuo wa Roho ..

Read more