Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Melkizedeki kama tunavyosoma katika maandiko si mwingine bali ni Kristo Yesu yaani Mungu!, kwa namna gani? Tutakwenda kutazama kwa undani zaidi ili kulidhibitisha jambo hili. Maandiko yanatuambia…. 1 Timotheo 3:16Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika ..
Author : Paul Elias
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ni Thawabu gani haswa ilikuwa ikizungumziwa hapo?. Tukianza kusoma Mathayo 10:41 kwa makini na ule Mstari wa 41. Tutapata Thawabu haswa iliyokuwa inazungumziwa hapo ni ipi?. Mathayo 10:41″Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Katika Maandiko/Biblia mahali pengine unapokuta mahali Neno limeandikwa “Karama” si wakati wote maana yake inabakia kuwa vilele tu la!, maana karama kwa maana nyingine ni “Zawadi” Ukisoma walaka wa Mtume Paulo kwa Warumi Kuna mahali anasema “….Bali Karama ya Mungu ni uzima wa milele..” Sasa je ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, Waraka huu kwa Wafilipi Mtume Paulo aliuandika akiwa kizuizini(Gerezani) sasa wakati akiwa kizuizini Kuna watu waliinuka nao wakawa wanahubiri injili lakini kuna waliohubiri kwa nia njema wengine kwa nia ya kumkomoa Mtume Paulo . Sasa ili kuelewa hili jambo vizurii tusome kuanzia juu kwa makini zaidi. ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Mtu mwenye rehema ni mtu mwenye huruma, asiyeshikilia chuki,wivu,hasira, visasi, ni mtu mwenye kusamehe watu wengine hata kama amekosewa na alistahili kutoa huku juu ya mtu alie mkosea yeye anachilia kabisa. Maandiko yanasema mtu wa namna hii anaitendea mema nafsi yake. Na Biblia inasema pia kwa ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tunaposoma Biblia ndani yake kuna agano la Kale na Agano Jipya, Sasa katika agano la Kale mambo mengi yalikuwa yakifanyika mwilini yaani walikuwa wanalitimiliza katika mwili. Mithali 31:6 “Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe akausahau umaskini ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Moja ya mistari inayonukuliwa vibaya katika Biblia moja wapo ni huu hasa kwa watu wa Mungu, maana imefika mahali Fedha/mafanikio yanahubiliwa zaidi kuliko Yesu Kristo Mwokozi wetu. Mhubiri 10:19 “Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, Na divai huyafurahisha maisha; NA FEDHA HULETA JAWABU LA MAMBO YOTE”. Sasa ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ukiangalia watu wengi wanaofanikiwa katika ulimwengu huu mara nyingi sana husifiwa kwa juhudi, walizonazo pengine hata wao wanapotoa ratiba zao kwa siku zinakuwaje mara nyingi huwa tunaona ni juhudi zao, ustadi wao pengine Elimu zao nk kwa jicho la kawaida unaweza kusema ni kweli na kuna ..
Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ni kawaida moyo wa Mwanadamu kuugua pale kitu alichotarajia kukipata kikikawia, huenda kwa kuahidiwa na mtu kupewa jambo fulani ama kuahidiwa na Mungu kuwa atapewa jambo fulani pale hicho kitu kinapokawia kuja moyo wake huugua. Maandiko yanasema. Mithali 13:12 “Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua. Bali haja ..
Shalom! Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo!. Mambo mengi yanashindwa kutoka ndani yetu(kuyaacha) kwa watoto wa Mungu wengi kwa sababu bado hawataki/kuamua(kuchukua hatua). Tabia zilizoko ndani yako wakati mwingine unatamani ziondoke lakini haziondoki, ndio kwanza zinazidi kuongezeka(kuota mizizi) zaidi. yote hiyo ni kwasababu hutaki kuchukua hatua kushughulika na hayo mambo maana Roho Mtakatifu ..