Uasherati. Ni kitendo cha kufanya tendo la ndoa kwa makubaliano ya hiari kwa watu wawili mwanamke na mwanamume ingali bado hawajaowana. Neno hili alilizungumza Bwana wetu Yesu Kristo. Mathayo 5:32[32]lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya UASHERATI, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.” Hivyo ikiwa umewahi kufanya ngono ..
Author : Paul Elias
Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Katika Agano jipya biblia imeandikwa kwa Lugha ya kiyunani yaani Kigiriki. Na kutafasiriwa kwa lugha mbali mbali!, Sasa katika Lugha Yetu ya Kiswahili Neno la Mungu linatajwa katika sehemu nyingi kama “NENO “. sehemu nyingi tunasoma utakua “Neno la Bwana likanijia/Neno la Bwana likamjia” Hivyo tunaliona katika sura ..
Shalom Bwana Bwana Yesu apewe sifa. Beelzebuli katika Agano la Kale alikuwa ni mungu wa Wafilisti(Philistine) kwa sasa inajulikana kama Palestina. Pale Mfalme Ahazia alipoanguka kutoka juu kule Samaria akaugua sana hivyo akatuma wajumbe waende wakamuulize kwa Beelzebuli mungu wa Ekroni kwamba je atapona ugonjwa huo. 2 Wafalme 1:[2]Na Ahazia akaanguka katika dirisha la chumba ..
Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Maneno haya mawili yanatumika sana kwa Watakatifu wengi, na huenda huwa unayasikia mara kwa mara lakini huenda hujui nini maana yake. Maana hata mimi nilikuwa nikiyasikia kwa muda mrefu lakini sikuwa najua maana yake hapo kabla. Sasa leo tutakwenda kujifunza maana ya maneno haya mawili. Shalom Ni neno ..
Karismatiki. Ni neno la Kigiriki “Charisma ” lenye maana ya Favour(Upendeleo) au Gift (zawadi). Charis(Grace) yaani Neema. Hivyo tunaweza kusema kwa Lugha nyepesi ni zawadi au uwezo anaopewa mtu binafsi na Roho Mtakatifu kwa manufaa ya Kanisa au ukuaji wake wa kiroho. Ni jambo ambalo lilianza Mwanzoni kabisa Mwa karne ya ishirini (20) mnamo Mwaka ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Mwokozi wetu. SWALI: KUVUKIZA UVUMBA NDIO KUFANYAJE? UVUMBA kwa Jina jingine ni UBANI. Ni mchanganyiko wa viungo mbali mbali ambao huchangwanywa pamoja na baada ya kukamilika huchomwa na kutoa harufu nzuri. Hivyo Uvumba ni Manukato yenye harufu nzuri sana pale unapochomwa katika Moto. Chanzo kikubwa cha uvumba kinapatikana ..