Bwana Yesu kristo Asifiwe. Karibu tujifunze Biblia SWALI : Ni Nini maana ya Mithali 21:17 ” Mtu apendaye anasa atakuwa maskini; Apendaye mvinyo na mafuta hatakuwa tajiri” JE mstari huu una maanisha Nini? JIBU : Kwanza yatupasa kufahamu mstari huo una maana mbili, Ya kwanza ni ya kimwili ikimaanisha ” Watu wapendao Anasa hatma zao ..
Author : Rehema Jonathan
Shalom Karibu tuyatafakari maandiko kwa pamoja. SWALI : JE! Kuna watu wengine Mungu aliwaumba kabla ya Adamu? Katika Mwanzo 27:1 Tunaona Mungu aliumba Mwanamke na mwanaume, Tena katika Mwanzo 2:7 tunaona anaumba mtu mwingine yaani Adamu. Kitabu Cha Mwanzo sura ya kwanza kinazungumzia Uumbaji wa Mungu kwa Muhtasari yaani kwa ufupi sana, Lakini tunapoendelea kusoma ..
Bwana Yesu kristo Asifiwe, SWALI: Nini maana ya Kumtia Mtu au Malaika “KASIRANI” kama ilivyotumika katika (Kutoka 23:21) Kwa majibu sahihi turejee biblia katika Kutoka 23:20-22 [20] Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokutengezea. [21] Jitunzeni mbele yake, mwisikize sauti yake; WALA MSIMTIE KASIRANI; maana, hatawasamehe ..
Shalom karibu katika kujifunza Maandiko matakatifu Wagalatia 6:1 “Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.” JIBU: Hapa Maandiko yanatupa mwongozo Namna sahihi ya kuwarejesha upya wale wapendwa Walioanguka dhambini. Biblia inatuasa tuwarudishe kwa upole ..
Jina la Bwana Yesu kristo Lihimidiwe. SWALI: JE! _Bisi ni Nini kama ilivyotumika katika kitabu Cha Ruthu 2:14 na Walawi 23:14_ JIBU: Bisi ni kama tunavyofahamu kwa mazingira yetu kwamba ni yale Mahindi yanayokaangwa na kufutuka, na kuwa na mwonekano mwingine wenye weupe weupe hatimaye kuliwa. Maarufu zaidi kwa jina la kigeni “popcorn” Lakini kwa ..
Jina la YESU kristo Lihimidiwe. Karibu tujifunze Biblia Wimbo Ulio Bora 2:9 “Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani.” Kwanza kabisa KIMIAMI ni dirisha kubwa lililo katika GHOROFA. Hivyo Madirisha makubwa yaliyo katika ghorofa (sio yaliyo katika nyumba za chini)ndiyo hayo huitwa kimiami. Mfano ni ..
Bwana yesu kristo Asifiwe. Karibu Tuyatafakari Maandiko Nini maana ya mstari huu “Na ulimi laini huvunja mifupa “(Mithali 25: 15 ) Mithali 25:15 ” Kwa uvumilivu mwingi mkuu husadikishwa; Na ulimi laini huvunja mfupa.” JIBU: Ukweli ni kwamba ulimi ndiyo kiungo laini zaidi katika mwili, lakini Biblia inatufunulia kwamba kina uwezo mkubwa. Naam, hata kuvunja ..
SWALI: ni kwanini biblia inakataza tusijiongezee HEKIMA, JE! Kuna ubaya gani kwa mkristro kuongeza maarifa au hekima? JIBU : tusome neno la Mungu kutoka Mhubiri 7::16 ” Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe?” Hekima inayozungumziwa hapo sio hekima ile ya KiMungu tunayoifahamu, sio hiyo,bali hiyo pia hekima ya KiMungu ..
Bwana wetu yesu kristo Asifiwe. Karibu Tuyatafakari Maandiko matakatifu Kwanza kabisa maana ya neno KUPURA ni ” Kutenganisha mbegu ya nafaka kutoka kwenye suke/ganda lake” Mfano tunapozitoa punje za nafaka (yaani ngano, mchele, maharage n.k) kutoka kwenye masuke yake hapo tunazipura Nafaka hizo Zipo namna mbalimbali za Kupura nafaka, Kwa zama zetu mbinu maarufu zaidi ..
Shalom watumishi wa Mungu. Karibu katika kujifunza Neno la Mungu .. Maandiko yanaposema “….ASIJE MTU..” na si “… ASIJE SHETANI…” hii inatufunulia ya kwamba anayeitwaa taji ya mtu ni MTU. Hii ni kwasababu shetani mwenyewe taji hiyo haiwezi kumsaidia, ila mtu mwingine akiitwaa taji hiyo itamsaidia huko Aendako! Tutafakari kwa UMAKINI ZAIDI aliyeitwaa taji ya ..