Katika maandiko bublia inafunua kuwa Bwana Yesu alianza huduma yake akiwa na umri wa miaka 30. Sasa ili tuweze kujua alikufa akiwa na umri gani, tunahitaji kujua kwanza utumishi wake ulikuwa wa miaka mingapi. Kulingana na kitabu cha Yohana, Yesu alihudhuria sikukuu tatu za Pasaka, ambazo zilikuwa za mwaka baada ya mwaka. Tukizijumlisha, tunapata jumla ..
Author : Rehema Jonathan
Mikono iliyotaka ni mikono isiyokuwa na hila au dosari yeyote, yaani mikono ambayo ni safi iliyotakata 1Timotheo 2:8 “Basi, nataka wanaume wasalishe kila mahali, huku wakiinua mikono iliyotakata pasipo hasira wala majadiliano” Mikono yenye hila au dosari nyenyewe inakiwaje, tusome Isaya 1:15 “Nanyi mkunjuapo mikono yenu, nitaficha macho yangu nisiwaone; naam, mwombapo maombi mengi, sitasikia; ..
Ili tuweze kuelewa mstari huu tutazame mfano huu ambao ni uhalisia wa maisha ulivyo ambao sasa utatusaidia kuelewa maana ya (Mithali 11:26) Kuna kipindi baadhi ya mikoa ya Afrika mashariki (Tanzania ) kulitokea shida ya maji, ilifanya watu kutoka umbali mrefu kwenda kutafuta maji ili waweza kufanikisha shughuli zote zinazohitaji maji, lakini sasa katika kipindi ..
Ulafi ni tabia ambayo mtu anakula chakula bila kiasi, kula kwa kupitiliza, na tabia inapozidi hufanya hata kushidwa kufanya maendeo ya kimaisha au kiroho kwa sababu hufanya kila kitu kitakacho onekana mbele ya macho lazima tu atakila sasa hali kama hii ndiyo inajulikana kama ulafi. Na tabia hii haitokani na Mungu ndiyo maana maandiko yanasema ..
SAYUNI, katika Biblia tunangalia mwanzoni kabisa ambapo Daudi alipokwenda kuuteka Mji wa Yerusalemu na akafanikiwa .. Eneo lile alililoliteka liliitwa ngome ya SAYUNI. Tutaona katika kitabu cha (2Samweli 5:7). Sasa cha kufahamu ni kwamba katika maandiko Sayuni imetumika nakutambulika kama mji wa Daudi au Mji wa Mungu(YERUSALEMU).. Pia mahali pa mlima ambako hekalu la MUNGU ..
Hapo maandiko yaliposema kuwa mwenye hekima huvuta roho za watu, ilimaanisha mtu yeyote anayewavuta watu katika wokovu huyo ndiyo anafahanishwa mtu mwenye hekima, hakumaanisha hekima za dunia hii maana hekima za dunia hii zipo nyingi lakini hazina faida kubwa kama hii ya mtu kumvuta mtu katika wokovu .. Mithali 11:30 “Mazao ya mwenye haki ni ..
Tusome Mithali 30:24-28 [24]Kuna viumbe vinne duniani vilivyo vidogo; Lakini vina akili nyingi sana. [25]Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa hari. [26]Wibari ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba. [27]Nzige hawana mfalme; Lakini huenda wote pamoja vikosi vikosi. [28]Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme. Mjusi ..
Nardo ni moja ya mmea mdogo sana unaojulikana kama”Nardostarchy” mmea wa aina hii huwa inatoa maua madogo madogo yenye rangi ya pinki Pia mmea huu huwa na vijitunda vyeusi ambavyo ndio chanzo cha mafuta ya aina ya nardo ambayo hutumika kutengeneza madawa asilia pamoja na marhamu safi yaani kwasasa huitwa Perfume (marashi/manukato)ambayo ndio huwa na ..
Kitabu cha Mithali kimejaa mafundisho mengi ya kutuonya sisi lakini pia kutufundisha kama tukiyasoma na kuyafanyia kazi. Mstari huu umebeba siri kubwa sana ambayo sisi kama watoto wa Mungu tukiielewa itatusaidia sana katika safari yetu hii ya wokovu hapa duniani mahali palipo na machafuko ya Kila namna. Mithali 10:12 Kuchukiana huondokesha fitina; Bali kupendana husitiri ..
Uga ni sakafu ambayo hutumika kwa ajili ya kupepetea ngano, au kwa lugha nyingine kupuria ngano, na sehemu hii ilitumikia kipindi cha zamani kama tunavyojua zamani hakukuwa na mashine kama wakati huu hivyo ilikuwa baada tu ya nafaka kutolewa shambani ikiwa pamoja na majani yake moja kwa moja ilipelekwa kwenye hiyo sakafu kwa ajili ya ..