
Shalom, nakukaribisha kwa mara nyingine tena katika mwendelezo wa makala hii fupi inayoangazia makanisa na mafundisho ya uongo yanayopotosha watu wengi nyakati hizi za mwisho, tulishatazama mawili huko nyuma katika sehemu ya kwanza na..
Shalom, nakukaribisha kwa mara nyingine tena katika mwendelezo wa makala hii fupi inayoangazia makanisa na mafundisho ya uongo yanayopotosha watu wengi nyakati hizi za mwisho, tulishatazama mawili huko nyuma katika sehemu ya kwanza na..
Neno la Mungu ni uzima, tena ni taa na mwanga wetu. Karibu tujifunze ili tupate kuona. [Mathayo 9:10-13] 10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake. 11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye ..
Moja ya ishara ambazo Bwana Yesu alizataja kuwa zitaambatana na wale waliomwamini na kubatizwa (katika ubatizo sahihi ambao ni kwa jina la Yesu Kristo na kuzamishwa katika maji tele), ni kuwa WATASEMA KWA LUGHA MPYA, zingine zikiwa ni up..
Tukisoma kitabu cha (Maombolezo 3:38), nabii Yeremia anasema kwamba, katika kinywa cha Bwana kunatoka MAOVU na mema, sasa je! Ni maovu yapi hayo yanayotoka kinywani mwa Bwana? Ni matukano?Uongo, Umbea au us..
Ndugu mpenzi, ikiwa na wewe ni miongoni mwa watu walioamua kujitwika misalaba yao binafsi na kumfuata Bwana sawasawa na neno lake katika (Marko 8:34), basi tambua kwamba, huna budi kukumbuka maneno yake ya husia kila siku unapojikana nafsi yako na kijitwika msal..
Karibu katika sehemu ya pili ya makala hii fupi inayoangazia makanisa na mafundisho ya uongo yanayowapoteza watu wengi duniani nyakati hizi za mwisho, tumeshatazama moja huko nyuma katika sehemu..
endapo tusiposimama thabiti katika kuomba na katika neno la Mungu, basi hapo tutamezwa tu, yaani kupotezwa na kuchukuliwa na makanisa ya uongo na mafundisho ya uongo yanayohubiriwa leo hii ambayo katika makala hii fupi tuona baadhi, na hii ni sehemu ya kwanza (0..
Kumekuwa na baadhi ya watu ambao kwa kukosa maarifa, wanajikuta wanatoa maneno ambayo ni kinyume na maandiko matakatifu katika sala zao, hii ni kutokana na kuwa wavivu kuchunguza na kusoma Biblia zao, au kudanganywa na dini za uongo na mitume wa uongo ambao wanajigeuza na kuwa mfano wa mitume..
Swali; Nini maana ya mstari huu “Sitawaadhibu binti zenu wazinipo, wala bibi arusi zenu wafanyapo uasherati; maana wao wenyewe huenda kando pamoja na wanawake wazinzi, hutoa dhabihu pamoja na makahaba; na watu hawa wasiofahamu wataangamia.” Hosea 4:14 JIBU; Kitabu cha Hosea kimeandikwa karne ya 8 K.K, na karne hiyo hiyo Israel upande wa kazikazini iliyokuwa ..
Hili limekuwa ni moja ya swali linaloulizwa hasa na watu wasiotaka kusikiliza kabisa habari za Mungu, na pia hata na baadhi ya wasomi wengi duniani kwa kisingizio kuwa, biblia iliandikwa na mtu fulani tu hivyo mwanadamu hapaswi kuzingatia sana waliyoandikwa humo kama wahubiri wengi wanavyosisitiza leo hii, lakini nataka nikwambie ndugu unayesoma u..