
Jibu: Tusome.. Mwanzo 5:1 “Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya; 2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki AKAWAITA JINA LAO ADAMU, siku ile walipoumbwa”. Sio kwamba, Mungu alikosea, kuwapa jina moja, kana kwamba hakumuona mwanamke Hawa. Hapana, kulikuwa na sababu kubwa sana.. Mungu anavyoona sio ..