Author : watakatifuwasikuzamwisho

Biblia ni nini? Je Neno hilo lipo katika biblia yenyewe?.

BIBLIA NI NINI? Chimbuko la Neno Biblia, ni kutoka katika lugha ya Kiyunani, lenye maana ya “Mkusanyiko wa vitabu vitakatifu” Kikiwa kimoja kinaitwa Biblioni, lakini vikiwa vingi huitwa Biblia. Na vilizoeleka kuitwa hivyo kwasababu vitabu vya awali vya agano jipya, sehemu kubwa viliandikwa katika lugha hii ya Kiyunani, Kwahiyo vilipokusanywa Pamoja viliendelea kuitwa hivyo hivyo ..

Read more

Kusaga meno, ni nini kama inavyozungumziwa katika maandiko?

Kwa kawaida mtu akiumia, pengine kajikata au kapigwa, ni ngumu sana kukaa bila kutokuonyesha Meno yake. Kwasababu kuna uhusiano mkubwa sana katika maumivu na meno ya mwanadamu, kama vile ilivyo uchungu na machozi. Sasa kile kitendo cha mtu kupata maumivu hayo makali mpaka kufikia hatua ya meno kukutana Pamoja, na kuyapekecha pekecha, huko ndiko kusaga ..

Read more

Mwezi wa Abibu ni mwezi gani?

Mwezi wa Abibu. Mwezi wa Abibu ni mwezi wa kwanza kwa Wayahudi, ambao kwetu sisi tunaotumia Kalenda ya ki-Gregory, huangukia katikati ya mwezi wa tatu (3) au Mwezi wanne (4) mwanzoni, kulingana na mwaka na mwaka. Mwezi huu ulikuwa ni muhimu sana, kwa Wayahudi kwasababu kwanza ndio ulikuwa mwezi wao wa kutoka katika nchi ya ..

Read more

Jiangalieni basi jinsi..

Read more

Je! Nikiwa naona maono si ndo basi Roho mtakatifu ninaye hivyo sina haja ..

Read more

Je, wanafunzi wa Bwana Yesu walienda kinyume  na Agizo la Bwana wao, alipowaagiza waende ulimwenguni kote wakawafanye mataifa kuwa wanafunzi wake wakiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu (Mathayo 28:19), ila badala yake wakaenda kubatiza kwa jina la Yes..

Read more

Je! Ubatizo wa maji sio wa muhimu tena kwasababu ukimkiri Bwana Yesu kwa kinywa chako tu..

Read more

Je! umeingia agano..

Read more

Je! Ni dhambi kibiblia kuwaomba wafu (wa..

Read more

KANISA LA KWELI NI LIP..

Read more