Author : watakatifuwasikuzamwisho

Sehemu ya kumi (10).

KANISA HALISI LA MU..

Read more

Nehushtani Maana yake ni Kipande cha shaba.

Sababu ya mfalme Hezekia kuiita NEHUSHTANI (yaani kipande cha shaba), ile nyoka ambayo Musa aliifanya kule jangwani, ni kuonesha kuwa, hakukuwa na nguvu yo yote ile tena katika yule nyoka wa shaba kwa wa..

Read more

SWALI: Je! Mtu anaweza kuwa na kipawa cha Mungu kabisa na bado akawa mtumishi..

Read more

Katika maisha tunayoishi, kila mtu anauona wema wa Mungu ambao haujifichi, haijalishi kama huyo mtu maisha yake ni ya dhambi na anasa, au ni ya haki na utakatifu, makundi hayo yote ya watu yanauona wema wa Mungu kwani wote anatupa afya, wote anatupa pumzi na uhai, wote tunaoa na kuolewa, wote tunapata watoto, na ndio ..

Read more

Kumekuwa na mitazamo na mafundisho mengi sana ambayo yamekuwa yakiwapotosha watu wengi sana katika siku hizi za leo kuhusiana na wokovu au (kuokoka), mwingine atakuambia, ukisha tubu na kumkili Yesu Kristo kwa kinywa chako inatosha, ubatizo hauna maana tena kwasababu wapo watu wengi tu wamebatizwa lakini bado wanaendelea na maisha ..

Read more

SWALI: Naomba kuuliza, kwanini safari ya wana wa Israeli kuelekea nchi yao ya ahadi (kaanani), ilikuwa imeshamiri vita na mapigano mengi mno, kwa mfano; tukisoma maandiko matakatifu baada tu ya wana wa Israeli kupit..

Read more

Tunaposoma habari za Yoshua Mwana wa Nuni, wa kabila la Efraimu, ambaye alikuwa ni mmoja wa wapelelezi kumi na wawili (12) waliotumwa kwa mara ya kwanza kwenda kuipeleleza nchi ya kaanani, kuna jambo kubwa..

Read more

SWALI: Bwana Yesu apewe sifa, naomba msaada wa jibu la swali hili, kwanini Nuhu alitengeneza safina kwa muda wa miaka arobaini (40), mvua ya gharika ilinyesha siku arobaini, WaIsraeli walikaa utumwani kwa miaka..

Read more

Kama Kanisa la Mungu, lipo Jambo la muhimu sana tunalopaswa kujifunza kutoka katika kisa cha Nadabu na Abihu kwenye maandiko matakatifu, kwa sababu, kisa cha watu hao hakikuandikwa kwa bahati mbaya h..

Read more

JIBU: Tofauti na wengi wanavyodhani kuwa, andiko hilo maana yake ni ufuate kile ambacho unachokiona kipo sawa ndani ya moyo wako, au kama kuna jambo fulani basi ufuate kama moyo wako unavyokutuma, ndugu hicho kitu..

Read more