Author : watakatifuwasikuzamwisho

Ili tuelewe vizuri tunamgojea Bwana wapi na kwa namna gani, hebu tujifunze tu kwa mifano yakawaida katika maisha yetu ya ki..

Read more

Tofauti na wengi tunavyodhani kuwa, Bwana Mungu anawatazama sana wahubiri kuliko watu wengine wote, au anawatazama sana watu wanaotoa misaada kwa wengine kuliko watu wote, au anawatazama sana masikini kuliko watu wote au mata..

Read more

SWALI: Ni kwanini Makuhani katika agano la kale waliamriwa kutwaa mke mwanamke ambaye ni ..

Read more

FUNDISHO MAALUM K..

Read more

Ndugu, kama bado hujatubu dhambi zako na kumwamini Kristo, na unajitambua maisha yako kwa Muumba wako ni ya kusuasua, ni ya dhambi na uvuguvugu, na roho yako inakushuhudia kabisa, basi unapaswa uithamini sana nafasi ya kuvuta pumzi uliyopewa na Mun..

Read more

Ukiona kanisa lako lina sifa fuatazo basi tambua kuwa, hilo sio kanisa bali ni nyumba ya makahaba ambayo mnakutana pamoja na kufanya uka..

Read more

SWALI: Katika agano la kale tunaona manabii walipotabiri, walitabiri kwa jina la Bwana, na tena si hivyo tu, lakini pia waliteswa, walinusurika kuuwawa na wengine hata kuuwawa kabisa kwa ajili ya Bwana huyo huyo ambaye walitabiri kwa jina lake, kwamfano nabii Uria Mwana wa Shemaya, a..

Read more

SWALI: Je! Ni lazima mtu afahamu au akajifunze kidogo lugha ya Kiebrania ili aweze kuelewa maandiko matakatifu na Kumfah..

Read more

SWALI: Naomba kuuliza, biblia inasema kuwa Yesu Kristo ndiye Mungu Mkuu (Tito 2:13), aliye juu ya mambo yote na mwenye kuhimidiwa milele na milele, Amina (Warumi 9:5). Na kumbuka hakuna Mungu wawili bali ni mmoja tu na ana nafsi moja kama maandiko yanavyosema katika (Amosi 6:8). Sasa kama Bwana Yesu ndiye Mungu, je! kule mlimani alienda kumu..

Read more

Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo lipewe sifa milele na milele, Yeye ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho, Mungu Mwenye kuhimidiwa mile..

Read more