MADHARA YA ULEVI (Sehemu ya kwanza) Shalom: Jina Tukufu la Bwana Yesu libarikiwe milele. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je! Unafahamu madhara ya ulevi kibiblia? Mbali na zile zinazojulikana na wataalamu wa afya, leo tutaangalia madhara ya ulevi hasa katika biblia ni zipi…karibu ufuatane nami katika somo hili naamini utajifunza kitu na kama wewe ni ..
Category : Biblia kwa kina
Namna ya kuvishinda vita vya kifikra. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Vita vikubwa vya Shetani juu ya watoto wa Mungu si uchawi,uganga,nk lakini vita vikubwa Shetani anavyopigana na watoto wa Mungu na kuwadhoofisha kwa namna isiyokuwa ya kawaida na kuona hawafai tena mbele za Mungu basi ni ..
MAANA NYINGINE YA CHACHU. Je! Unafahamu chachu ni nini?. Chachu kwa lugha ya sasa ni HAMIRA, na kwa kawaida ukiitazama hamira unaweza ukadhani ni unga Fulani hivi, lakini kiuhalisia ule si unga bali ni mkusanyiko wa wadudu wenye uhai kwa lugha ya kitaalamu wanaitwa YEAST, hawa wanadudu ndio wanaofanya kazi ya kumengenya ule unga, na ..
Tunza Moto wa Madhabahu usizimike. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Agano la Kale ni kivuli harisi cha Agano jipya, na kama tukitaka kulifahamu vizuri agano jipya ni lazima tulielewe vizuri agano la Kale itakuwa ni rahisi zaidi kupata ufahamu wa biblia nzima(kuhusu wokovu Mungu ..
UMCHUKUE MWANAO, MWANA WAKO WA PEKEE, UMPENDAYE. Shalom jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Siku ya leo tutajifunza umuhimu wa kumtolea Mungu wetu vile vinavyotugharimu. Wengi wetu tunafahamu ile habari ya Ibrahimu baba yetu wa Imani..kumtoa Isaka mwanaye pekee kuwa sadaka ya kuteketezwa, Mungu alimwambia Ibrahimu.. Mwanzo 22:2 “Akasema, ..
Upo karibu na Yesu? Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima! Sio Wakristo wote wako karibu na Yesu Kristo au wanaushirika wa karibu naye. Kil Mkristo alieokoka ana Yesu ndani yake(Roho Mtakatifu) lakini si kila Mkristo ana ushirika wa karibu sana na Yesu Kristo. Kuwa karibu na Yesu Kristo sio ..
JE! UMEUONA USO WA MUNGU? Jina la Bwana Yesu mwokozi wa ulimwengu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu lililo taa ya miguu yetu, Na mwanga wa njia zetu (Zaburi 119:105). Leo kwa neema za Mungu tutajifunza maana halisi ya kuuona uso wa Mungu na umuhimu wake. Je! tunaweza tukauona uso wa Mungu? Mbona ..
USIVAE MAVAZI YA KIGENI. Sefania 1:8 “Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote WALIOVA MAVAZI YA KIGENI.” Katika ukiristo mavazi ya kigeni ni yapi? Neno la Mungu linasema.. Mathayo12:33 “Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya ..
Na uzima wa milele ndio huu. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. ” Huwezi kufurahia maisha ya wokovu (kuona furaha ya wokovu usipomfahamu Kristo kwa upana zaidi) utaona wokovu wako ni kawaida tu nk” Ili uweze kupiga hatua kila siku ya kiroho ni lazima ujifunze kuyatafakari maandiko. Unaweza ..
Fahamu siri iliyopo katika Neno la Mungu. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Sehemu ya pili 02(Mwisho wa somo hili). Katika somo lililopita tulijifunza tukaona Neno la Mungu ni nini? Tuliona kuwa Neno la Mungu ni Mungu mwenyewe, ni uzima,ndio lililoumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Lakini leo ..