Mungu baada ya kumjaribu Ibrahimu na Ibrahimu kushinda, Mungu alimbariki Ibrahimu kwa baraka mbali mbali, lakini kuna baraka moja ambayo aliambiwa na Mungu kuwa, kupitia uzao wake, MAK..
Mungu baada ya kumjaribu Ibrahimu na Ibrahimu kushinda, Mungu alimbariki Ibrahimu kwa baraka mbali mbali, lakini kuna baraka moja ambayo aliambiwa na Mungu kuwa, kupitia uzao wake, MAK..
Mungu aliiadhibu miji ya Sodoma na Gomora kutokana na uovu uliokuwa ukifanywa na watu wa miji hiyo, lakini sababu nyingine ya Mungu kuiadhibu miji hiyo ni ili KUWA ISHARA AU MFANO KWA W..
Kuna tabia moja iliyooneshwa na mitume, Andrea na Filipo kwenye biblia ambayo na sisi kama wanafunzi wa Bwana Yesu hatuna budi kuwa nayo. Na tabii hii au kitu hicho kilichofanywa na hao mitume tunakisoma katika ..
Maandiko yanamtaja Samweli kuwa, alishindwa kumtambua Mungu pale sauti yake ilipomwita kwa mara ya kwanza katika maisha yake, na sababu ya kushindwa biblia inaeleza kuwa..
Huduma ya Yohana mbatizaji ilikuwa ni kumwandalia Bwana watu kwaajiri ya ujio wake, ambapo kwa wakati ule watu wa Bwana walikuwa ni taifa ..
Moja ya tabia ya Mungu ambayo tunaisoma kwenye maandiko ni kuwa, kabla ya kufanya jambo lolote ni lazima kwanza awajulishe watumishi wake, tunathibitisha hi..
Ile siku ambayo Bwana Yesu alipotumia chombo cha Simoni Petro kufundishia pale pwani, kuna NENO ambalo alilitamka pale kuwa twekeni hadi ..
Ukisoma maandiko utagundua kuwa, wakati Mungu anaumba dunia, kusudi lake au mlengwa mkubwa aliyekusudiwa na Mungu alikuwa ni mtu, na ndio maana..
Maneno hayo tunayoyasoma katika maandiko matakatifu yanamaanisha kuwa, katika wana wa Israel, hakuna hata mmoja aliyeingia rahani mwa Mungu, hakuna..
Kuna mwandishi mmoja ambaye Bwana Yesu alimwambia sentensi moja ambayo nataka tujifunze kutoka kwa hiyo, na maneno y..