Mfalme Yosia katika wakati wa kutawala kwake, aliagiza ukarabati wa nyumba ya Bwana, kwa kuwatuma Shafani mwana wa Azalia, Maaseya Akida wa mji, na Yoa mwana wa Yoahazi, kwenda kwa Hilkia kuhani kwa lengo la kuihesabu fedha inayoletwa nyumbani mwa Bwana ili wapate kukarabati nyumba ..