Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Iko hatari kubwa sana kwa watoto wa Mungu tunapolisikia Neno na tukashindwa kulifanyia kazi na tukalipuuzia tu ama tukatamani kuliishi lakini tusichukue hataua zozote. Yakobo 1:22-25″Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu.23 Kwa sababu mtu akiwa ni msikiaji wa neno ..
Category : Biblia kwa kina
Kuhusuru ni kitendo cha kuzingira kitu pande zote, kisiwe na mpenyo wa kutoroka au kupita Na mbinu hizi mara nyingi zilitumika katika kipindi cha agano la kale, majeshi ya zamani wakati wa vita, walikuwa wana hususuru kwanza (kuzingira) maadui zao kabla hawajapigana ili wakose mpenyo au nafasi ya kuweza kutoka, na hii ilikuwa inachukua hata ..
Shalom!, Bwana Yesu asifiwe!. Chuo cha vita cha Bwana ni moja ya vitabu vya Kihistoria ambacho kina rekodi matukio yote ambayo Bwana aliwapigania watu wake na kuwashindia. Hivyo ni kitabu kinachoelezea matendo makuu ya Bwana alivyo wapigania na kuwashindia katika vita. Kitabu hiki kimetajwa katika. Hesabu 21:13 “Kutoka huko wakasafiri, wakapanga upande wa pili wa ..
Katika Agano la Kale arabuni imetajwa mara nyingi zaidi. Hivyo Arabuni ni Eneo ama sehemu ambayo iko mashariki ya kati. Ampapo wafanyabiashara mbali mbali walikuwa wakimletea Fedha, dhahabu nk Mfalme Sulemani 2Nyakati 9:14 “mbali na ile waliyoileta wachuuzi na wafanya biashara; tena wafalme wote wa Arabuni, na maliwali wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha”. ..
Katika vitu ambavyo watu wengi wameshindwa kuelewa ni hapa, kujua wakati na majira sahihi katika maisha yao juu ya Mungu, na hapa ndipo shetani amewekeza nguvu kubwa sana ili awana..
Kama Wewe ni Mwanafunzi na mfuasi wa Yesu Kristo (uliyetubu dhambi zako na kuamua kumfuata na kumuamini Yesu Kristo sawasawa na maandiko kama Yeye mwenyewe alivyosema), basi, huna budi kujifunza na kuwa na tab..
Ipo laana ya Roho Mtakatifu inayoendelea miongoni mwa wahubiri wa injili pasipo hata wao wenyewe kutambua, na laana hii ya Roho Mtakatifu inaanza tu pale ambapo muhubiri anapohubiri injili nyingine yo yote iliyo kinyume na ile iliyohubiriwa na mitume n..
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini kanisa la sasa la Kristo halina Utukufu kama ule uliokuwapo katika kanisa la mwanzo? Hakuna tena imani kama ile iliyokuwapo mwanzo (bali ni unafiki na kuigiza), hakuna tena nguvu ya Mungu katika kanisa kama iliyokuwapo mwanzo, hakuna tena ushukiwaji wa Roho Mtakatifu kwa watu katika kanisa k..
Ipo tabia nyingine ya Mungu tunayopaswa kuifahamu ambayo ni fundisho tosha kwetu sisi pindi tunaposoma wito wa Ezekieli kuhani, au nabii Ezekieli katika maandiko m..
Je! Utatoa hesabu ya nini katika siku ile? Utatoa hesabu ya nini katika siku ile utakayosimama mbele ya Muumba Wako? Utatoa hesabu ya nini katika ile siku ya hukumu? Kwa sababu, sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu, kama maandiko matakatifu y..