Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; BALI SASA ANAWAAGIZA WATU WOTE KILA MAHA..
Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; BALI SASA ANAWAAGIZA WATU WOTE KILA MAHA..
Jina la Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo lipewe sifa milele na milele, Yeye ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho, Mungu Mkuu na Mwokozi Wetu, sifa na Utukufu ni vyake milele na milele, Amina. Sababu ya Kristo kuja duniani na kufa msalabani, ilikuwa ni kuwakusanya wanadamu wote waliopotea katika dhambi kama kondoo na kuwaleta ..
Mchungaji wako ni nani? Je! Ni Bwana (Yesu Kristo), ndiye aliye mchungaji wako? Au ni Ibilisi ndiye aliye mchun..
Leo kwa kibari cha Mungu tutatazama andiko linalosema Mungu ni Roho, na ninaamini kwa neema zake nyingi utapata kujifunza ..
Kuna jambo ambalo tunapaswa kulifahamu katika habari ya Danieli na yale maandishi yaliyoandikwa kwa vidole vya mwanadamu (kiganja cha mkono alichokiona mfalme Belshaza kikiandika katika ukuta), kwa sababu habari hiyo haikuandikwa tu kama hadithi fulani ya kujifurahisha ambayo haina funzo wala maudhui yoyote yale, bali kipo kitu cha kufahamu na kujifunza katika habari hiyo, kwani biblia inasema, kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa ..
Sanamu zisizonena zinazozungumziwa hapo sio kitu chochote kilichojiinua ndani ya mwanadamu kuliko Mungu hapana, bali ni zile sanamu zote zilizochongwa kwa kazi ya ufundi stadi wa mikono ya wanadamu na kisha kupambwa kwa dhahabu na fedha kwa lengo la kiibada, kuzihusianisha ..
Shalom! SWALI: Nina maswali yafuatayo ambayo naomba msaada wa ufafanuzi, swali la kwanza ni je ufalme wa MUNGU ni nini? Swali la pili ni kwamba, kwa nini ufalme wa MUNGU utakuwa ndani yetu, je ni Roho Mtakatifu ndiye anayezungumziwa hapa au? Na swali langu la tatu ni je, ufalme wa MUNGU ulikuja kipindi gani? Karibu ..
SWALI: Nina maswali yafuatayo ambayo naomba msaada wa ufafanuzi, swali la kwanza ni je ufalme wa MUNGU ni nini? Swali la pili ni kwamba, kwa nini ufalme wa MUNGU utakuwa ndani yetu, je ni Roho Mtakatifu ndiye anayezungumziwa hapa au? Na swali langu la tatu ni je, ufalme wa MUNGU ulikuja kipindi gani? Shalom wapendwa ..
Moja ya tabia ambayo Bwana Wetu Yesu Kristo aliikemea sana na kutukataza tusiwe nayo ni unafiki, tunaliona hilo sehemu kadha wa kadha kwenye maandiko matakatifu aliposema kuwa, katika kuishi kwetu na kuendenda kwetu tusiwe kama wanafki, tunapotoa sadaka tusiwe kama wanafiki, tusalipo tusiwe kama wanafiki, tufungapo tusiwe kama wanafiki, na sehemu nyingine nyingi mno alipoikemwa tabia hiyo ya unafiki na..
Neno la Mungu ni uzima, tena ni taa na mwanga wetu. Karibu tujifunze ili tupate kuona. [Mathayo 9:10-13] 10 Ikawa alipoketi nyumbani ale chakula, tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake. 11 Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye ..