Category : Uncategorized

Je! kupiga punyeto ni dhambi kwa mujibu wa biblia?

Dhambi hainzii mwilini, bali dhambi inaanzia rohoni, na ndio maana Bwana Yesu alisema.. Mathayo 15:18 “Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. 19 Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano; Hivyo, kabla ya kutaka kufanya tendo lolote la zinaa, huwa linaanzia kwanza moyoni, kwa ..

Read more

Kulingana na Mathayo 5:29, Je! viungo vyetu vikitukosesha tuvikate?

“Na mkono wako wa kuume ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe;” Tusome habari nzima; Mathayo 5:28 “lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. 29 Jicho lako la kuume likikukosesha, ling’oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum. 30 Na ..

Read more